Israel yaendeleza mashambulizi dhidi ya Iran, katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-06-13
Просмотров: 50388
Описание:
Jeshi la Israel limeanzisha wimbi la mashambulizi mapya dhidi ya Iran, huku makombora kutoka Israel yakilenga kituo cha kuboresha madini ya Urani yanayotumiwa kwa silaha za kinyuklia huko Natanz na pia katika uwanja wa ndege wa Tabriz.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: