DC ARUSHA MVAA GAMBO - ''ANAHUSIKA KWA ANACHOTUHUMU NI SIASA ZA KITOTO, ANATAFUTA KIKI APUUZWE''...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-04-19
Просмотров: 14883
Описание:
DC ARUSHA MVAA GAMBO - ''ANAHUSIKA KWA ANACHOTUHUMU NI SIASA ZA KITOTO, ANATAFUTA KIKI APUUZWE''...
Mkuu wa wilaya Ya Arusha Ferician Mtahengerwa ameelza ameshangazwa na kitendo cha Mmbunge wa Arusha mjini Mrisho Mashaka Gambo kuongea kila mahali anapopata nafasi ikiwemo Bungeni kuwa kunaudhaifu wa usimamizi wa fedha za miradi na ubadhilifu wa fedha hizo katika jiji la Arusha huku akituhumu ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kuwa zinabariki mambo hayo kutokea
Mkuu wa Wilaya Mtahengerwa ameeleza kuwa tuhuma za Mbunge Gambo ni siasa za kitoto kwa kuwa serikali ilishachukua hatua za Kali kwa watumishi waliohusika na yeye Mbungaje anafahamu lakin bado anatumia mambo hayo kama kiki kisiasa
Mtahengerwa pia amepinga yeye na mkurugenzi wa sasa kurudishwa kwenye tuhuma hizo kwakuwa hayo yanayozungumzwa na Gambo yalitokea wao wakiwa hawapo na serikali ilisha chukua hatua na yeye kama mkuu wa wilaya na Mkuu wa Mkoa huwa wanaingilia maswala ya halmmashauri endapo wataona kuna tatizo hivyo hawawezi kuwa sehemu ya ubadhirifu kama ambavyo Gambo aliwatuhumu..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: