Sauti Za Bwana (Bosconians) - Stubborn Heart
Автор: Namjua Don Bosco
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 26
Описание:
Huu ni wimbo namba 5 Kwenye Album iitwayo 'HAIL DON BOSCO' ambayo ilirekodiwa na Wanafunzi wa Shule ya 'Salesian Seminary Dodoma' Tanzania, Mwaka 2015. Ilirekodiwa kwenye studio Iitwayo 'Hope Studio, Area D Dodoma production' kwa usimamizi wa Wasalesiani wa Don Bosco waliokuwa wakifanya kazi katika Shule hio kwa wakati huo. Namjua Don Bosco inatambua, inapongeza na inashukuru kila Muhusika aliyefanikisha project hii kwa namna yake, ndio maana imechukua jukumu la kuzihifadhi kazi hizi za Sanaa ili ziendelee kuenziwa siku zote. Mungu awabariki Wote.
.
#namjuadonbosco #haildonbosco #stubbornheart
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: