Walter Chilambo - Neema Ya Mungu (Visualizer)
Автор: Walter Chilambo
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 146509
Описание:
Studio Production : W A C H I E M P I R E
Produced by : T E N O R
Visualizer by : X N I P E R - C G
Song Name : N E E M A Y A M U N G U
Mkiniona hamuwezi kutegemea
Kama ni mimi yule mlinikatia tamaa
Hata nikijiona hivi sijategemea
Kama ni mimi yule niliyechoka sanaa
Nilikuwa kama kiziwi sisikii
Kama kipofu hata mbele sioni
Ni kama nilifungwa miguu yangu sitembei
Ndogo ndogo hatua zangu
Ni kama bubu haziongei
Kumbe Maisha yangu anapanga Mungu
Sio mwanadamu anapanga Mungu
Kumbe kesho yangu anajua Mungu
Nipate au nikose anajua Mungu
CHORUS
Ni Neema neema ya Mungu
Ni neema ni neema ya Mungu
Kwa Neema kwa neema ya Mungu
Ni kwa Neema kwa Neema ya Mungu
VERSE 2
Ninadunduliza usiku na mchana
Kupata chambi chambi
Ili na mimi niwe kama wenzangu
Nitoke hata kitambi
Niendeshe Gari na Nyumba
Nisikope tena kwa Mangi
Baba Asante hata kwa vidogo
Najua umeandaa vingi
Nimejua kwamba twajirudisha nyuma wenyewe
Kujitia ujanja kwamba tunayaweza wenyewe
Akili na maarifa adui kavikanyaga
Yanakuja yanapita ila Mungu hajawahishindwa
Aahh mimi
Kumbe Maisha yangu anapanga Mungu
Sio mwanadamu anapanga Mungu
Kumbe kesho yangu anajua Mungu
Nipate au nikose anajua Mungu
CHORUS
Ni Neema neema ya Mungu
Ni neema ni neema ya Mungu
Kwa Neema kwa neema ya Mungu
Ni kwa Neema kwa Neema ya Mungu
.
#walterchilambo #wachiempire #NeemaYaMungu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: