Don't Touch, Shule ya Msingi Njiapanda - IRINGA
Автор: MerysinaNgowi Don't Touch Hapa kwangu
Загружено: 2019-08-07
Просмотров: 455
Описание:
Ukatili dhidi ya watoto wa jinsi zote ni UKIUKWAJI WA HAKI ZAO!
Sisi kama DON'T TOUCH tunapinga vikali VITENDO hivyo, na tupo bega kwa bega na wananchi wote katika kuhakikisha tunatokomeza vitendo vyote vya UKATILI DHIDI YA WATOTO!
Katika shule ya Msingi Njiapanda iliyoko Isakalilo katika Manispaa ya IRINGA, tulifanikiwa kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo (Darasa la kwanza mpaka Darasa la Saba), kuhusu MAMBO YANAYOCHANGIA UKATILI DHIDI yao na namna gani ya kuepukana na sababu hizo!!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: