WAISLAMU WAIGUNDUA INJILI YA BARNABA
Автор: BAYYINAT DM TV
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 341
Описание:
Kwa nini Wakristo Hamuitambui Injili ya Barnaba?
lililoulishwa na: Abdullah Mbwana, Mombasa.
Imetibitishwa kwamba kitabu kinachojulikana kama Injili ya Barnaba hakina uhusiano
wowote na Ukristo. Ni ushahidi bandia kuhusu Injili takatifu na jaribio la kuwakilisha
kwa ubaya dini ya Kikristo.
Kitabu hiki kinachohusishwa na Barnaba kilitafsiriwa katika lugha ya Kiarabu na Dr
Khalil Sa'adah, kutoka nakala ya Kiingereza katika mwaka 1907.
Injili hii ilikataliwa kabisa na Wakristo kwa sababu ilikuwa ya kubuni na ya uongo.
Wale ambao waliikubali walikuwa baadhi ya madhehebu ya Waislamu. Walifanya hivyo
kwa sababu rahisi sana; kwamba sehemu kubwa ya Injili hii inaunga mkono madai
kwamba Kristo hakusulubiwa, lakini sura yake aliwekewa Yuda Iskarioti ambaye
alisulubiwa badala yake Yesu.
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: