SEMINA YA NENO LAMUNGU 25 FEBRUARY 2026
Автор: CVC TV
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 88
Описание:
KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA CHANG'OMBE CHURCH.
Karibu kwenye semina Maalumu ya Neno la Mungu. Semina Hii, Itafundishwa na MWALIMU STEVEN KAJILU
Hii ni nafasi adimu ya kujifunza somo la "YUKO WAP MUNGU WAKO", na kubarikiwa kupitia mafundisho ya kina ya Neno la Mungu.
Muda: Saa 10:30 jioni hadi 1:30 usiku
Kwa wewe uliyeko mbali Usiache ku subscribe katika YouTube channel yetu (CVC TV) ili tuweze kuungana pamoja.
Ibada zetu zote zipo #live kupitia (CVC TV) ibada za jumapili , ibada za morning glory pamoja na ibada za mikesha ya Neno la Mungu.
Lakini pia unaweza kuungana nasi hapa AICT - CHANG'OMBE - SOKOTA kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa moja kamili katika ibada zetu za asubuhi.
Barikiwa!
#livestream
Unaweza kutoa sadaka yako kwa njia ya mtandao kupitia:
M-Pesa: 0768 675 668 - AICT Chang'ombe
Lipa namba: 54247339 - Sadaka AICT Chang'ombe Local Church
CRDB Bank: 01J1005063300 - AICT Chang'ombe Pastorate
KWA MAONI NA USHAURI TUANDIKIE KUPITIA
NAMBA : 0765-886-888
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: