ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-08-21

Просмотров: 14124

Описание: Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, Abdallah Juma aliyewahi kukamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akidaiwa kujifanya daktari amenaswa tena katika Hospitali ya Rufaa ya Amana kwa kufanya kazi katika hospitali hiyo wakati sifa za udaktari hana.

Juma amenaswa akijifanya daktari, baada ya kuwekewa mtego na uongozi wa hospitali hiyo.

Kukamatwa kwa Juma kunakuja ikiwa ni miezi mitatu tu imepita tokea Juni 19 mwaka huu alipo kamatwa katika hospitali ya Muhimbili kwa kujifanya daktari.

Katika hospitali ya Muhimbili kijana huyo alijifanya kutoa huduma katika maabara kuu huku uongozi ukiwa hauna taarifa ya kuwepo kwa huduma aliyokuwa akiitoa kitu ambacho kilisababisha kushtukiwa na kukamatwa.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Amana, Zainab Hoti akizungumza waandishi habari juu wananchi kuacha njia ya mkato katika kupata huduma katika hospitali ya Amana.

Baada ya kukamatwa Uongozi wa hospitali hiyo ulifanya uchunguzi na kubaini kuwa kijana huyo hakuwa daktari bali daktari feki kama alivyokuwa akijitambulisha na kwamba amekamatwa mara baada ya kuwekewa mtego na askari wa hospitali hiyo. Daktari wa Kitengo cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU), Shani Mwaruka alikiri kukamatwa kwa kwa mtuhumiwa huyo.

Amesema, Juma alinaswa baada ya uongozi kupata malalamiko kutoka kwa watu waliokuwa wakihitaji huduma katika hospitalini hiyo. Amesema tayari hospitali hiyo iliweka mtego imara wa maofisa wake, ambapo Juma aliingia bila hofu yeyote na kukutana na watu ambao alitaka wampe fedha ili awahudumie ndipo aliponaswa.

Baadhi ya watu waliodaiwa kuombwa fedha na daktari huyo feki, wamesema aliahidi kuwatafutia kazi mbalimbali katika hospitali hiyo.

Daktari wa Kitengo cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) wa Hospitali ya Amana, Shani Mwaruka akizungumza na waandishi wa habari juu ya kumnasa Daktari ‘feki’ katika hospitali hiyo leo jijini Dar es Salaam.

Nae mwananchi aliyekwenda kupata huduma hospitali ya Amana Cecilia amesema Agosti 9 mwaka huu, kijana huyo aliwaeleza kuwa kuna kazi katika hospitali ya Amana na yeye kama daktari bingwa anayefanya kazi hapo anaweza kuwasaidia.

“Alituambia kuwa fomu zinatolewa katika hospitali ya muhimbili sh. 150,000 lakini kwakuwa wao ni madakatari atatufanyia kwa sh. 100,000 tu. Tulichanga fedha hiyo na ilifikia 800,000 tukampatia,” alieza Cecilia. Ameongeza,Juni 19 mwaka huu aliwaita katika hospitali ya Amana ili kufanyiwa usahili lakini hakutokea na simu akawa hapokei.

“Tuliamua kuuliza kwa madakatari kama wanamfahamu lakini hakuna aliyemfahamu ndipo tulipobaini kwamba tumetapeliwa na kuamua kufanya mtego kwa kushirikiana na uongozi uliofanikisha kumnasa leo ,” alieleza.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAZIRI MKUU AWALIPUA CHADEMA na WANAHARAKATI - ''WALIPANGA VITA - NCHI IKOSE SERIKALI''....

WAZIRI MKUU AWALIPUA CHADEMA na WANAHARAKATI - ''WALIPANGA VITA - NCHI IKOSE SERIKALI''....

#TAZAMA| DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI

#TAZAMA| DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI "MIMI NI OSTADHI MBAGALA"

''KAMATA UKOO MZIMA ALIPE DENI'' - WAZIRI MKUU MWIGULU AAGIZA ALIYECHUKUA MIL 600+ AKAMATWE...

''KAMATA UKOO MZIMA ALIPE DENI'' - WAZIRI MKUU MWIGULU AAGIZA ALIYECHUKUA MIL 600+ AKAMATWE...

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

DAKTARI FEKI AKAMATWA AKITIBU WAGONJWA NYUMBANI KWAKE

DAKTARI FEKI AKAMATWA AKITIBU WAGONJWA NYUMBANI KWAKE "AMEHUDUMIA WATU 119 DAWA ZIME-EXPIRE"

MTAALAM FEKI WA MAABARA ANASWA AKITOA HUDUMA ZAHANATI

MTAALAM FEKI WA MAABARA ANASWA AKITOA HUDUMA ZAHANATI

DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI

DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI "MIMI NI OSTADHI MBAGALA NATAPELI TU"

MUONEKANO MPYA WA HOSPITALI YA MUHIMBILI, PROF JANABI AFAFANUA HUDUMA YA KUEGESHA MAGARI

MUONEKANO MPYA WA HOSPITALI YA MUHIMBILI, PROF JANABI AFAFANUA HUDUMA YA KUEGESHA MAGARI

Polisi feki akamatwa jijini Dar es Salaam

Polisi feki akamatwa jijini Dar es Salaam

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali

Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali

РАЗВЯЗКА до Нового года! Путин СОГЛАСИЛСЯ? Зеленский и Трамп сели за стол переговоров

РАЗВЯЗКА до Нового года! Путин СОГЛАСИЛСЯ? Зеленский и Трамп сели за стол переговоров

#ZIFAHAMU TARATIBU NA GHARAMA ZA PASIPOTI YA KUSAFIRIA YA TANZANIA NA JINSI YA KUIPATA, TAZAMA HAPA

#ZIFAHAMU TARATIBU NA GHARAMA ZA PASIPOTI YA KUSAFIRIA YA TANZANIA NA JINSI YA KUIPATA, TAZAMA HAPA

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

⚡️ ИТОГОВАЯ пресс-конференция ЗЕЛЕНСКОГО и ТРАМПА! ШОКИРУЮЩИЕ ЗАЯВЛЕНИЯ!

⚡️ ИТОГОВАЯ пресс-конференция ЗЕЛЕНСКОГО и ТРАМПА! ШОКИРУЮЩИЕ ЗАЯВЛЕНИЯ!

Muonekano wa Hospitali ya Kisasa watakayokabidhiwa chuo cha Muhimbili yenye ghorofa 9

Muonekano wa Hospitali ya Kisasa watakayokabidhiwa chuo cha Muhimbili yenye ghorofa 9

AHMED GHAILAN: MTANZANIA ALIYETIKISA DUNIA KWA UGAIDI, AKIMSAIDIA OSAMA, AKAFUNGWA MAISHA GUANTANAMO

AHMED GHAILAN: MTANZANIA ALIYETIKISA DUNIA KWA UGAIDI, AKIMSAIDIA OSAMA, AKAFUNGWA MAISHA GUANTANAMO

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Daktari feki anaswa Muhimbili

Daktari feki anaswa Muhimbili

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]