IRAN YAANZISHA SHAMBULIZI KUBWA LA MAKOMBORA YENYE VICHWA VINGI HUKU IKITOA ONYO KWA UINGEREZA.
Автор: Focus News Tanzania Tv 1
Загружено: 2026-03-20
Просмотров: 2288
Описание:
IRAN YAANZISHA SHAMBULIZI KUBWA LA MAKOMBORA YENYE VICHWA VINGI HUKU IKITOA ONYO KWA UINGEREZA.
Iran ilitekeleza operesheni kubwa ya kijeshi usiku kucha ikilenga maeneo katika Palestina inayokaliwa na vituo vya kijeshi vya Marekani katika ukanda huo asubuhi Ijumaa machi 20 mwaka hyuu, ikitumia mifumo ya kisasa ya makombora na ndege zisizo na rubani katika kile kilichoripotiwa kuwa shambulizi lililofanikiwa kikamilifu.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema wimbi la 66 la Operesheni “Ahadi ya Kweli 4” lilianzishwa “kama heshima kwa roho ya mashujaa wa mapambano, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis,” na kulenga maeneo katika sehemu za kati na kusini za maeneo yaliyokaliwa, ikiwemo Tel Aviv, pamoja na vituo vya kijeshi vya Marekani katika ukanda huo.
#focusnewstanzaniatv1 #iran #usa #trump #israel #netanyahu #simba #yanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: