MJERESHO WA WADADA BAADA YA KWENDA KAZINI
Автор: WanawakeLive Tv
Загружено: 2021-11-02
Просмотров: 1561
Описание:
Wadada Center tumeanza rasmi kufanya program za kupeana mrejesho kwa wadada ambao tumewaunganisha na kazi kwa lengo la kuboresha pale ambapo kuna mapungufu upande wa waajiri au waajiriwa.
Hii ni program ya 30/10/2021 tuliyofanyia hapa kwenye kituo chetu cha WadadaCenter.
Kila mwezi tutakuwa na program hii kwa wale ambao wamechukua wadada hapa WadadaCenter. Kwa Mawasiliano kuhusu huduma hii ya WadadaCenter piga simu 0783137777
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: