NGOMA AINA YA SAMBA KUTOKA KYELA
Автор: OBO SIX MEDIA
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 38
Описание: Mpenzi mtazamaji wa OBOSIX MEDIA leo nimekuletea kionjo kingine kutoka kabila maarufu la WANYAKYUSA ,Hii ni ngoma ya asili aina ya Samba hupendwa sana na rika la vijana kutoka mkoa wa MBEYA ,Huchezwa kipindi cha sherehe za mavuno na sherehe za ndoa ,huambatana na nyimbo haswa wakiwahasa akida dada kuacaha tabia za kudanga au kujiuza ili waolewe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: