KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 27/02/2026
Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 7850
Описание:
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 27/02/2026
MAFUNGO YA KWARESMA 2026. SIKU YA 9
NENO KUU:
Mhubiri 3:1
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
Matendo 3:19
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
MADA:
"KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON)
AJENDA ZA MAOMBI
1. TOBA NA REHEMA
Matendo 3 : 19
19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
2. KUOMBEA MOYO WAKO UWE NA UTULIVU WA NDANI (INNER TALK)
Mithali 4 : 23
23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
3. KUOMBEA KURUDI KWENYE NAFASI ULIYOPOTEZA KWASABABU YA MISIMU.
Mwanzo 3 : 9
9 Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
4. KUKEMEA MAROHO YOTE YANAYO SHAMBULIA KUSUDI NA KUKULETEA MASHAKA YA KUSUDI.
Yeremia 46 : 27
27 Lakini usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, wala hapana mtu atakayemtia hofu.
Mhubiri : Mwnj. Henry Mlay
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: