Rais Magufuli afanya ukaguzi wa kushtukiza uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Terminal One.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-10-05
Просмотров: 130787
Описание: Rais Dkt John Pombe Magufuli amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One na kuagiza wafanyakazi wawili uwanjani hapo waliomdanganya kuwa mashine za ukaguzi zinafanya kazi wakati zikiwa hazifanyi kazi waondolewe uwanjani hapo na kushushwa vyeo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: