⚠️ USIOE MWANAMKE ALIYEKUZIDI UMRI 👩❤️👨 | Sababu 3 ~ Mrs. Deborah Urio
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-08-30
Просмотров: 10142
Описание:
Katika semina hii ya uchumba, Deborah Urio anafundisha mambo ya msingi ambayo kila kijana anapaswa kuyafahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa. Ni mafunzo muhimu yanayogusa moja kwa moja maisha ya uchumba na maandalizi ya ndoa.
📌 Utajifunza katika video hii:
Changamoto za kuoa mwanamke anayekuzidi umri
Sababu za msingi za kuzingatia kabla ya kuchagua mwenzi
Sifa kuu za mwanaume anayeweza kuwa mume bora
Mafunzo ya kimaadili na kiroho kuhusu ndoa na familia
👉 Hii ni semina ya kipekee kwa vijana na mabinti wanaotaka kuelewa uchumba kwa mtazamo sahihi na wa hekima.
👉 Usikose darasa hili la thamani ambalo litakufungua macho na kukusaidia kwenye safari ya mapenzi na ndoa.
🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo zaidi kuhusu maisha, mahusiano na maendeleo binafsi!
📌 Tazama video nzima na usisahau kushiriki na marafiki zako!
👇 Comment hapa chini – Je, unadhani watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa tayari au bila maarifa ya kutosha? Tuambie maoni yako!
Shiriki nasi maoni yako kupitia katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media
Subscribe ili upate matoleo mengine yanayofuata.
..........................................................................................
Video Credits: Mrs. Debora Urio
#Ndoa #Uchumba #Mahusiano #MrsUrio #HWTv #Mahusiano #Mapenzi #LifeSkills #HWMedia #DeboraUrio #jinsia #mapenzi #malezi #positivevibes #elie #MapenziSahihi #DrEllieWamian #thewisetz #NamnaGaniUmpende #ndoa #falsafa #thewisetz #rejesha #radha #swahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: