ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BEI YA SIMENTI YAFIKIA 24,875/=, NONDO NA MABATI YATAJWA,WAZIRI AFUNGUKA

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2023-07-25

Просмотров: 3497

Описание: Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji akitoa maelezo kuhusu mwenendo wa bei za bidhaa muhimu za chakula na za viwandani kwa mwezi Julai 2023 ambapo amesema bei ya saruji (aina ya 32.5 R) imeongezeka kutoka Shilingi 23,125 kwa bei ya juu mwezi Juni hadi Shilingi 23,250 na bei ya chini ni shilingi 14,125 kutoka shilingi 13,500 kwa mfuko wa kilo 50 huku bei za Nondo na Bati zikionesha kuwa himilivu.

“Saruji aina ya 32.5 kwa mwezi Julai 2023 ni kati ya Shilingi 14,125 na 23,250 kwa mfuko wa kilo 50. Bei ya juu ya saruji hiyo imeongezeka kwa asilimia 0.5 sawa na ongezeko la Shilingi 125 kwa mfuko wa kilo 50 ikilinganishwa na bei ya mwezi Juni 2023 ambayo ilikuwa ni Shiling 23,125 kwa mfuko wa kilo 50. Vilevile, bei ya chini ya saruji imeongezeka kwa asilimia 4.6 sawa na ongezeko la Shilingi 625 kwa mfuko wa kilo 50 ikilinganishwa na bei ya mwezi Juni 2023 ambayo ilikuwa ni Shilingi 13,500 kwa mfuko wa kilo 50 na Mkoa wenye bei ya chini ni Tanga, wakati bei ya juu ipo katika mkoa wa Kagera. Aidha, uchambuzi wa wastani wa bei ya saruji (aina ya 32.5) nchini unaonesha kuwa bei yake imepanda kwa asilimia 3.2 ukilinganisha na wastani wa bei ya bidhaa hiyo kwa mwezi Juni 2023” Waziri wa Viwanda na biashara Dkt. Kijaji.

“Kwa saruji (aina ya 42.5), uchambuzi unaonesha kuwa bei kwa mwezi Julai 2023 ni kati ya Shilingi 15,000 na 24,875 kwa mfuko wa kilo 50. Bei ya juu ya saruji hiyo imeongezeka kwa asilimia 1.5 sawa na ongezeko la Shilingi 375 kwa mfuko wa kilo 50 ikilinganishwa na bei ya mwezi Juni 2023 ambayo ilikuwa ni Shiling 24,500 kwa mfuko wa kilo 50. Halikadhalika, bei ya chini ya saruji ya aina hii imeongezeka kwa asilimia 2.4 sawa na ongezeko la Shilingi 350 kwa mfuko wa kilo 50 ikilinganishwa na bei ya mwezi Juni 2023 ambayo ilikuwa ni Shilingi 14,650 kwa mfuko wa kilo 50. Mkoa wenye bei ya chini ni Tanga, wakati bei ya juu ipo katika mkoa wa Kagera. Aidha, uchambuzi wa wastani wa bei ya saruji (aina ya 42.5) nchini unaonesha kuwa bei yake imepanda kwa asilimia 1.4 ukilinganisha na wastani wa bei ya bidhaa hiyo kwa mwezi Juni 2023” Dkt. Ashatu Kijaji Waziri wa Viwanda na Biashara.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BEI YA SIMENTI YAFIKIA 24,875/=, NONDO NA MABATI YATAJWA,WAZIRI AFUNGUKA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Водитель мототакси женат на трёх жёнах, имеет 11 детей, живёт благодаря своей работе, успеху и не...

Водитель мототакси женат на трёх жёнах, имеет 11 детей, живёт благодаря своей работе, успеху и не...

Глава района заявил, что четверо человек были пьяны в день Рамадана в указанных местах.

Глава района заявил, что четверо человек были пьяны в день Рамадана в указанных местах.

Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам

Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам

KIPYENGA CHA MWISHO 12/03/2026 | Yaliyotikisa Singida BS vs Simba; TRA United vs Namungo FC

KIPYENGA CHA MWISHO 12/03/2026 | Yaliyotikisa Singida BS vs Simba; TRA United vs Namungo FC

TAHARUKI, VIJANA SITA WAHOFIWA KUFARIKI ARUMERU, WADAIWA KUIBA MALI ZA WATU, VIONGOZI WAOMBA MSAMAHA

TAHARUKI, VIJANA SITA WAHOFIWA KUFARIKI ARUMERU, WADAIWA KUIBA MALI ZA WATU, VIONGOZI WAOMBA MSAMAHA

MJENZI WA NYUMBA. Mfuko mmoja wa Cement unajenga tofari ngapi

MJENZI WA NYUMBA. Mfuko mmoja wa Cement unajenga tofari ngapi

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 12.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 12.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

Bei ya saruji yaanza kung'ata

Bei ya saruji yaanza kung'ata

NONDO ZA MBUNGE KISHIMBA, AIMAMBIA SERIKALI “TUSIPOKUBALI KUFIKIRI TUTAKUWA WATUMWA WA DUNIA”

NONDO ZA MBUNGE KISHIMBA, AIMAMBIA SERIKALI “TUSIPOKUBALI KUFIKIRI TUTAKUWA WATUMWA WA DUNIA”

Mtaji wa shilingi milion 4 unatosha kuanzisha biashara ya vifaa vya ujenzi?

Mtaji wa shilingi milion 4 unatosha kuanzisha biashara ya vifaa vya ujenzi?

MAMBO SABA (7) KWENYE HOTUBA YA MOJTABA KHAMENEI, ATANGAZA KUISAMBARATISHA MAREKANI NA ISRAEL

MAMBO SABA (7) KWENYE HOTUBA YA MOJTABA KHAMENEI, ATANGAZA KUISAMBARATISHA MAREKANI NA ISRAEL

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

Fahamu jinsi ya kupata GARI kupitia NANASI kwa kulipa kidogo kidogo, bei ni nafuu, kila mtu anaiweza

Fahamu jinsi ya kupata GARI kupitia NANASI kwa kulipa kidogo kidogo, bei ni nafuu, kila mtu anaiweza

ADHABU KWA WANAONGEZA BEI YA CEMENT YATAJWA

ADHABU KWA WANAONGEZA BEI YA CEMENT YATAJWA

MABADILIKO VIWANGO VIPYA VYA MABATI

MABADILIKO VIWANGO VIPYA VYA MABATI "EPUKENI HASARA, M-SOUTH GEJI 30 SASA INAFAA"

KAMA UNATAKA KUJENGA, ISIKUPITE HII, MABATI BEI RAHISI HIVI..!

KAMA UNATAKA KUJENGA, ISIKUPITE HII, MABATI BEI RAHISI HIVI..!

DIASPORA BEI ZOTE ZA VIFAA VYA UJENZI TANZANIA HIZI HAPA. ASIKUDANGANYE MTU! PART1

DIASPORA BEI ZOTE ZA VIFAA VYA UJENZI TANZANIA HIZI HAPA. ASIKUDANGANYE MTU! PART1

MTANZANIA AANZISHA KIWANDA CHA KUTENGENEZA TOROLI ARUSHA AELEZA ALIVYOZIUNDA KWA UBORA.

MTANZANIA AANZISHA KIWANDA CHA KUTENGENEZA TOROLI ARUSHA AELEZA ALIVYOZIUNDA KWA UBORA.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]