Maafisa wa DCI wamtaka 'Nabii Yohana' wa Bungoma kujisalimisha ili kuhojiwa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-05-30
Просмотров: 6553
Описание:
Maafisa wa upelelezi kaunti ya Bungoma wamemtaka mhubiri mmoja eneo hilo kujisalimisha kwa polisi kuandikisha taarifa. Polisi wanasema kuwa muhubiri huyo anayefahamika kama Nabii Yohana anatakiwa kuhojiwa kuhusu mienendo yake. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Bungoma Francis Kooli, polisi walianzisha uchunguzi dhidi yake bada ya wananchi kuwasilisha taarifa wakisema kuwa huende mhubiri huyo anaeneza itikadi kali.
Mhubiri huyo wa kanisa la Church for All Nations liloko Nandolia eneo bunge la Kanduyi ana wake 42 na watoto 289 ameanzisha bibilia yake. Mhubiri Yohana anatarajiwa kufika idara ya upelelezi Ijumaa hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: