ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MWIGULU KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI

Автор: ZANZIBAR YETU

Загружено: 2025-11-13

Просмотров: 34

Описание: WAZIRI MKUU, Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watumishi wa umma ambao ni wazembe, wala rushwa, wavivu na wazembe, wenye lugha mbaya kwa Wananchi wabadilike ili kuwezesha maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwaletea Watanzania maendeleo yaweze kutimia.

“Watumishi wa umma na Watanzania wote tuwe tayari, lazima twende kwa gia ya kupandia mlima, lazima twende kwa gia ya kupita kwenye bahari yenye mawimbi, lazima twende kwa gia ya kupita kwenye anga lenye mawingu, lazima chombo kifike salama na watu wake wakiwa salama. Kwa watumishi wavivu, wazembe nitakuja na fyekeo na rato. Lazima maono ya Mheshimiwa Rais na ahadi ambazo amewaahidi Watanzania zitekelezwe.”

Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Novemba 13, 2015) bungeni jijini Dodoma alipokuwa akitoa shukurani baada ya kuthibitishwa na Bunge kufuatia uteuzi wa Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pia, Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kuwahakikishia Watanzania kwamba yote yaliyoahidiwa kwenye Ilani ya Uchanguzi ya CCM ya 2025/2030 na yaliyoahidiwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi yatatekelezwa iwapo wataendelea kumtanguliza Mwenyezi Mungu na kudumisha amani.

“Mheshimiwa Spika, katika kipindi cha miaka mitano, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amejitambulisha kuwa ni rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania. Amefanya hivyo wakati alipoingia madarakani kukiwa na tatizo kubwa la umeme aliweka jitihada kubwa za kukamilisha mradi mkubwa wa bwala la Mwalimu Nyerere ambalo limemaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme.”

Kadhalika, Dkt. Mwigulu ameongeza kuwa wakati Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani kulikuwa na tatizo la vifo vya akinamama wajawazito pamoja na watoto kutokana na upungufu wa hospitali na vituo vya afya. “Katika kipindi kifupi amejenga zaidi ya hospitali 119 za wilaya, zaidi ya vituo vya afya 649 katika kata mbalimbali, zaidi ya zahanati 2,800 nchi nzima.”

“…Katika kipindi kifupi amejenga shule mpya zaidi 2,700 za msingi na shule zaidi 1,300 za sekondari na madarasa zaidi 97,000, hivyo hivyo katika sekta zingine ikiwemo kununua CT Scan hospitali zote za mikoa na MRI katika hospitali za Kanda pamoja na mitambo ya kuchimbia visima vya maji kwenye kila mkoa na kila ukanda na hiki ndicho kilichowafanya Watanzania wamchague kwa wingi na nimetaja machache.”

Akizungumzia kuhusu utekelezaji wa dira mpya ya 2050, Dkt. Mwigulu amesema dira imebeba matumaini makubwa ya Watanzania wakiwemo vijana ambao ndio hasa walengwa hivyo kuna kazi kubwa ya kuanza utekelezaji wake pamoja na kumalizia viporo vya dira ya 2025.

“Nitumie fursa hii kumshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kunipendekeza kushika nafasi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua uzito wa majukumu haya pamoja na maratajio yake pamoja na matarajio ya Watanzania, nitafanya kazi kwa bidii, kwa uaminifu mkubwa na jiutihada kubwa kuweza kukidhi matarajio haya.” Dkt. Mwigulu amethibitishwa kwa kupata kura 369 kati ya kura 371 zilizopigwa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MWIGULU KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#BREAKING: WAZIRI MKUU MPYA - MWIGULU NCHEMBA APENDEKEZWA na RAIS SAMIA - ASHANGILIWA na WABUNGE....

#BREAKING: WAZIRI MKUU MPYA - MWIGULU NCHEMBA APENDEKEZWA na RAIS SAMIA - ASHANGILIWA na WABUNGE....

⚡️СРОЧНО! Атака на резиденцию Путина: Кремль УГРОЖАЕТ! Зеленский ОТВЕТИЛ. Трамп поддержал Украину

⚡️СРОЧНО! Атака на резиденцию Путина: Кремль УГРОЖАЕТ! Зеленский ОТВЕТИЛ. Трамп поддержал Украину

ТЕ, КТО ХОЧЕТ ИЗМЕНЕНИЙ В ЗАКОНОДАТЕЛЬСТВЕ О БРАКЕ, ПОДОЖДИТЕ НЕМНОГО, ПОСЛУШАЙТЕ ПРОФЕССОРА КАБУДИ

ТЕ, КТО ХОЧЕТ ИЗМЕНЕНИЙ В ЗАКОНОДАТЕЛЬСТВЕ О БРАКЕ, ПОДОЖДИТЕ НЕМНОГО, ПОСЛУШАЙТЕ ПРОФЕССОРА КАБУДИ

Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo

Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche

Казахи УСТАЛИ терпеть! Понаехавших русских ПОГНАЛИ тряпками: это НАДО ВИДЕТЬ. Москву ставят на место

Казахи УСТАЛИ терпеть! Понаехавших русских ПОГНАЛИ тряпками: это НАДО ВИДЕТЬ. Москву ставят на место

KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha

KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha

NO 2: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

NO 2: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

AJIRA WAPEWE WATUMBATU WENYEWE - MAKAMO ATOA AGIZO

AJIRA WAPEWE WATUMBATU WENYEWE - MAKAMO ATOA AGIZO

Сербия конфискует российские компании_ «Газпром» выгоняют из страны?

Сербия конфискует российские компании_ «Газпром» выгоняют из страны?

SUGU:

SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"

HII SI YA KUKOSA FURSA ZA DR MWINYI KWA WANANCHI

HII SI YA KUKOSA FURSA ZA DR MWINYI KWA WANANCHI

Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni

Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni

🤯СЛИЛИ ТАКОЕ о Путине, ЧТО ВСЕ НА УШАХ! США впервые РАССЕКРЕТИЛИ ТАЙНОЕ: ВОТ, где мир ПРОСЧИТАЛСЯ

🤯СЛИЛИ ТАКОЕ о Путине, ЧТО ВСЕ НА УШАХ! США впервые РАССЕКРЕТИЛИ ТАЙНОЕ: ВОТ, где мир ПРОСЧИТАЛСЯ

Tangu Kuapishwa Mpaka Leo: Haya Ndio Yaliyojiri Wizara ya Kilimo na Mifugo (Mwezi 1)

Tangu Kuapishwa Mpaka Leo: Haya Ndio Yaliyojiri Wizara ya Kilimo na Mifugo (Mwezi 1)

KUKOSEKANA DAWA NI DOSARI KWA SERIKALI

KUKOSEKANA DAWA NI DOSARI KWA SERIKALI

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

Кинжалы по подземке: Россия достала элиту разведки. Генерал взорван в Москве - ответ бьёт по Киеву

Кинжалы по подземке: Россия достала элиту разведки. Генерал взорван в Москве - ответ бьёт по Киеву

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]