WAGANGA 10 WALIOPELEKWA UVINZA KIGOMA GUMZO | NI NAMNA TU
Автор: VOT MEDIA
Загружено: 2023-05-24
Просмотров: 3416
Описание:
Katika hali ya kushangaza katika Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakazi wa kijiji hicho wameshirikiana na Serikali ya kijiji kuchukua waganga wa jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Hata hivyo operesheni hiyo imepingwa vikali na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ambaye amezuiwa kuingia kijijini hapo ikiwa yupo kinyume cha mpango huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: