NINI KILIMUUA BERNARD MEMBE? MJANE AFUNGUKA YOTE
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2023-08-27
Просмотров: 23304
Описание:
Kunaweza kukawa na maswali bado kwenye vichwa vya watu juu ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe, aliyefariki dunia Mei 12, 2023 Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.
Sasa Khomein Tv imemfikia Mjane wa Hayati Membe, Dorcas Membe, ambaye amefunguka yote juu ya kifo hicho, na yote yanayomuhusu yeye na familia kwa sasa na hali anayopitia kipindi hiki cha kuishi bila Mumewe.
Muandaaji: JUMA MOHAMED
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: