Episode 50: Mbegu ya ajabu | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto
Автор: Akili and Me - Kiswahili
Загружено: 2023-02-01
Просмотров: 62735
Описание:
Little Lion Lion ana mbegu. Akili, Happy Hippo na Bush Baby wanamsaidia kuzipada, na kuwagia maji kidogo na inakuwa... mche wa nyanya!
Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswah...
Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/
http://www.akiliandme.com
/ akiliandme
Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
https://www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains
#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: