ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DCEA YAFICHUA MBINU ZA WAUZA DAWA ZA KULEVYA

Автор: ITV Tanzania

Загружено: 2026-01-08

Просмотров: 1307

Описание: #Habari: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mwishoni mwa Disemba, 2025, na kufanikiwa kukamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki kumi na moja na magari matatu huku watuhumiwa 66 wakikamatwa kuhusiana na uhalifu huo.

Katika operesheni iliyofanyika Sinza C mtaa wa Bustani nyumba namba 16, Jefferson Kilonzo Mwende (35), raia wa Kenya, alikamatwa akiwa na gramu 131.88 za heroin. Mtuhumiwa huyo aliyeishi Tanzania tangu 2023, alitumia biashara ya kuuza chai kuficha biashara ya dawa za kulevya anayoifanya.

Aidha, mtaa wa Wailes, Temeke , Dar es Salaam, zilikamatwa pakiti 20 za skanka zenye uzito wa kilogramu 20.03 zikiwa zimefichwa ndani ya balo la mitumba na kufichwa kwenye bus aina ya Scania la kampuni ya King Masai Tours, lenye namba za usajili wa nchi ya Msumbiji namba AAM 297 CA . Basi hilo hufanya safari zake kati ya Nampula nchini Msumbiji na Tanzania. Watuhumiwa waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo ni Amasha Iddi Mrisho (40), mkazi wa Buza, Dar es Salaam na Seleman Juma Ally (32), raia wa Msumbiji.

Katika eneo la Kinyerezi, mtaa wa Majoka wilaya ya Ilala, watuhumiwa Erick Ernest Ndagwa (32), Paul Blass Henry (34), na Tido Emmanuel Mkude (35) walikamatwa wakiwa na bangi kilogram 193.66, zikisafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam.

Kadhalika, kufuatia ukaguzi uliofanyika kwenye kampuni za usafirishaji wa mizigo jijini Dar es Salaam, paketi 20 za dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 9.54 zilikamatwa zikiwa zimefungwa kama majani ya mwarobaini yaliyokaushwa. Dawa hizo zilikuwa zikisafirishwa kutoka Kenya kuelekea Australia.

Vilevile, kupitia operesheni mbalimbali zilifanyika katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Morogoro, Tanga, Lindi, Kilimanjaro, Njombe, Kigoma na Arusha zilikamatwa dawa za kulevya aina ya heroin gramu 37.34, skanka kilogramu 1.015, bangi kilogramu 7,969.98 na mirungi kilogramu 1,363.701 pamoja na kuteketeza ekari 14 za mashamba ya bangi.

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inasisitiza wananchi kutoa taarifa kuhusu viashiria vya biashara ya dawa za kulevya na kuwa makini kutokubali kusafirisha mizigo wasiyoijua. Mamlaka itaendelea na operesheni nchi nzima na kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wahalifu wa dawa za kulevya.

Powered by #MCHEZOSUPA
‎
‎
‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
‎
‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DCEA YAFICHUA MBINU ZA WAUZA DAWA ZA KULEVYA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MOTO MKUBWA ULIOSABABISHA DUKA KUBWA LA MAMBOLEO DIGITAL KUTEKETEA KWA MOTO MAZITO YABAINIKA

MOTO MKUBWA ULIOSABABISHA DUKA KUBWA LA MAMBOLEO DIGITAL KUTEKETEA KWA MOTO MAZITO YABAINIKA

Неизвестные лица напали и избили человека, который их обвинил, Китиму и Руваити.

Неизвестные лица напали и избили человека, который их обвинил, Китиму и Руваити.

BREAKING NEWS;DUDU BAYA AKINUKISHA TENA MWIJAKU KWA HILI HANA CHA KUJITETEA MAMBO MAZITO

BREAKING NEWS;DUDU BAYA AKINUKISHA TENA MWIJAKU KWA HILI HANA CHA KUJITETEA MAMBO MAZITO

RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE WANAODAIWA KUMDHULUMU NYUMBA MAMA MJANE, AMWAGA MACHOZI

RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE WANAODAIWA KUMDHULUMU NYUMBA MAMA MJANE, AMWAGA MACHOZI

MAIMARTA AMEMWAGA SIRI NZITO ZA MKUBWA FELLA NA MKEWE | ASEMA ANANYANYASWA

MAIMARTA AMEMWAGA SIRI NZITO ZA MKUBWA FELLA NA MKEWE | ASEMA ANANYANYASWA

KIMEUMANA: YULE MKATOLIKI FEKI AMESHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA AKIMBILIA POLISI

KIMEUMANA: YULE MKATOLIKI FEKI AMESHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA AKIMBILIA POLISI

Abdiaziz Farah Sentenced to 28 Years — Feeding Our Future Fraud, Kenya Money Trail & Global Fallout

Abdiaziz Farah Sentenced to 28 Years — Feeding Our Future Fraud, Kenya Money Trail & Global Fallout

TUKIO KWENYE TUME YA UCHUNGUZI, AZOMEWA TARIME BAADA YA KUMTUHUMU HECHE

TUKIO KWENYE TUME YA UCHUNGUZI, AZOMEWA TARIME BAADA YA KUMTUHUMU HECHE

🔴 IZI APA HABARI KUBWA ZA MCHANA WA LEO 11/01 | FAHAMU YANAO ENDELEA MASHARIKI MWA CONGO NA PENGINE

🔴 IZI APA HABARI KUBWA ZA MCHANA WA LEO 11/01 | FAHAMU YANAO ENDELEA MASHARIKI MWA CONGO NA PENGINE

BILA UOGA WAZIRI KABUDI ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU MAKONDA MBELE YA RAIS SAMIA

BILA UOGA WAZIRI KABUDI ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU MAKONDA MBELE YA RAIS SAMIA

Экстремальный способ переработки использованных шин и коровьих костей на пакистанской фабрике

Экстремальный способ переработки использованных шин и коровьих костей на пакистанской фабрике

“Ziara hii ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yetu

“Ziara hii ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yetu

Заявление президента Самии, адресованное звёздам на церемонии поздравлений после успешного выступ...

Заявление президента Самии, адресованное звёздам на церемонии поздравлений после успешного выступ...

Это ВАС ШОКИРУЕТ! ОТВЕТ Трампа на ВОЗМОЖНЫЙ ЗАХВАТ Путина. Киев БЕЗ СВЕТА и ТЕПЛА. НЕФТЯНОЙ КРАХ РФ

Это ВАС ШОКИРУЕТ! ОТВЕТ Трампа на ВОЗМОЖНЫЙ ЗАХВАТ Путина. Киев БЕЗ СВЕТА и ТЕПЛА. НЕФТЯНОЙ КРАХ РФ

HISTORIA YA EBENEZER NA EDGER WALIOFARIKI KWENYE SWIMMING POOL ARUSHA INAUMIZA SANA

HISTORIA YA EBENEZER NA EDGER WALIOFARIKI KWENYE SWIMMING POOL ARUSHA INAUMIZA SANA

🔴 НАДО ЖЕ! Эйфория роспропаганды от

🔴 НАДО ЖЕ! Эйфория роспропаганды от "Орешника" обернулась ПОЗОРОМ!

MAPYA!! MMOJA WA MASHEMEJI WALIOMFUKUZA MUME NYUMBANI KWAKE ARUSHA ABEBA NGUO ZAKE,AONGEA A-Z..

MAPYA!! MMOJA WA MASHEMEJI WALIOMFUKUZA MUME NYUMBANI KWAKE ARUSHA ABEBA NGUO ZAKE,AONGEA A-Z..

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

NIVA dudubaya ameongea ukweli kabisa kuhusu mkubwa fella ukweli lazima usemwe.

NIVA dudubaya ameongea ukweli kabisa kuhusu mkubwa fella ukweli lazima usemwe.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]