ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAKULIMA WA KAGERA NA SIMIYU WAVUNJA REKODI WAONDOKA NA ZAWADI ZA VUNA NA MIXX BY YAS

Автор: MZAWA TV Online

Загружено: 2024-12-16

Просмотров: 42

Описание: Kagera, Tanzania – Mixx by Yas, huduma inayolenga kuimarisha maisha ya wakulima, imehitimisha kampeni yake ya Vuna na Mixx by Yas kwa kugawa zawadi zenye thamani kubwa kwa wakulima waliofanya vizuri kupitia vyama vya ushirika vya AMCOS kutoka mikoa ya Simiyu, Kagera

Katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Kagera, jumla ya zawadi zilizotolewa ni pamoja na pikipiki 4, baiskeli 10, paneli za sola 3, na simu janja 6. Tukio hili limevutia wakulima kutoka AMCOS mbalimbali, viongozi wa serikali, na wadau wa kilimo.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Angelica Pesha, Afisa Mkuu wa Mixx by Yas, alisema:

"Kampeni ya Vuna na Mixx by Yas ni sehemu ya juhudi zetu za kuthamini mchango mkubwa wa wakulima katika uchumi wa taifa. Tumefurahi kuwazawadia zawadi hizi muhimu ambazo tunatarajia zitachangia kuboresha maisha na shughuli zao za kilimo. Tunajivunia kuwa washirika wa karibu wa wakulima, na kupitia huduma kama KilimoPesa na AfyaMkulima, tunalenga kuwapa suluhisho bora zaidi kwa changamoto zao za kila siku."

Mmoja wa wakulima walioshinda, Bw. Patrick Rweshambula kutoka Kagera ambaye alipokea pikipiki, alielezea furaha yake:

"Nimefurahi sana kupata pikipiki hii, itaniwezesha kusafirisha mazao yangu sokoni kwa urahisi na kwa haraka zaidi. Shukrani kwa Mixx by Yas kwa kutambua na kuthamini kazi ya wakulima."

Naye Elizabeth Gacha kutoka Simiyu, aliyeshinda paneli ya sola, alisema:

"Paneli ya sola niliyopewa itanisaidia sana hasa katika kuhifadhi mazao yangu kwa kutumia nishati ya jua. Pia, itakuwa msaada mkubwa kwa familia yangu nyumbani. Nashukuru sana Mixx by Yas kwa zawadi hii."

Kampeni ya Vuna na Mixx by Yas si tu kwamba imeleta matumaini kwa wakulima, bali pia imedhihirisha dhamira ya Mixx by Yas ya kuleta suluhisho bunifu kwa changamoto za sekta ya kilimo. Mpaka sasa, Mixx by Yas imefanikiwa kufanya malipo ya shilingi bilioni 5.5 kwa wakulima zaidi ya 4,340 kupitia AMCOS 18 nchini.

Huduma za KilimoPesa na AfyaMkulima, zilizozinduliwa hivi karibuni, zimeendelea kuimarisha maisha ya wakulima. Kupitia KilimoPesa, wakulima wanapata mikopo nafuu kwa ajili ya pembejeo na mbolea, huku AfyaMkulima ikiwapa wakulima na familia zao bima ya afya kwa gharama nafuu.

Mixx by Yas inaendelea kuwa mshirika muhimu wa wakulima kwa kuwapa suluhisho salama, rahisi, na zenye tija kwa maendeleo yao na sekta ya kilimo kwa ujumla.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAKULIMA  WA KAGERA NA SIMIYU WAVUNJA REKODI WAONDOKA NA ZAWADI ZA VUNA NA MIXX BY YAS

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

WANANCHI WAANDAMANA DAR

WANANCHI WAANDAMANA DAR "MWAKILISHI WA RAIS ANAKESI NA SISI TUSIPEPESE MACHO HAPA"

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

HABARI UKUBWA MCHANA HUU/IRAN MAMBO BADO MAGUM/ISRAELI YASHAMBULIA..

HABARI UKUBWA MCHANA HUU/IRAN MAMBO BADO MAGUM/ISRAELI YASHAMBULIA..

WAZIRI KAPINGA AJIVUNIA MAFANIKIO HAYA MAKUBWA YA TBS , AWAPONGEZA .

WAZIRI KAPINGA AJIVUNIA MAFANIKIO HAYA MAKUBWA YA TBS , AWAPONGEZA .

CHEKI RC MHITA ALIVYOTATUA MGOGORO WA MWANAMKE ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE SHINYANGA.

CHEKI RC MHITA ALIVYOTATUA MGOGORO WA MWANAMKE ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE SHINYANGA.

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA MTO WA MBU

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA MTO WA MBU

TUNATOA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI NA WAKULIMA: SELF ME

TUNATOA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI NA WAKULIMA: SELF ME

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI KARATU MJINI

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI KARATU MJINI

🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

🔴#LIVE: UKAGUZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO-HAYDOM

🔴#LIVE: UKAGUZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO-HAYDOM

LAZIMA TUSHIRIKIANE NA WENZETU......MHE HEMED

LAZIMA TUSHIRIKIANE NA WENZETU......MHE HEMED

HABARI KUBWA MCHANA HUU/VITA YA IRAN BADO NZITO/MAREKANI YASHAMBULIA ZAIDI...

HABARI KUBWA MCHANA HUU/VITA YA IRAN BADO NZITO/MAREKANI YASHAMBULIA ZAIDI...

BBC SWAHILI _HABARI ZA ULIMWENGU LEO ALHAMISI _RAIS MTEULE WA IRAN ATOA HOTUBA LEO, VITA HAIWEZI KUI

BBC SWAHILI _HABARI ZA ULIMWENGU LEO ALHAMISI _RAIS MTEULE WA IRAN ATOA HOTUBA LEO, VITA HAIWEZI KUI

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

TBS WASHIRIKI MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA NA BIASHARA ZA WANAWAKE DAR.

TBS WASHIRIKI MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA NA BIASHARA ZA WANAWAKE DAR.

KISUGU ALIPUKA MAJIBU YA PENATI ZA SINGIDA ANAYO ALLY KAMWE

KISUGU ALIPUKA MAJIBU YA PENATI ZA SINGIDA ANAYO ALLY KAMWE

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA BABATI MJINI

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA BABATI MJINI

TBS yatambuliwa kimataifa kupitia Cheti cha Umahiri cha WCO

TBS yatambuliwa kimataifa kupitia Cheti cha Umahiri cha WCO

MAMBO SABA (7) KWENYE HOTUBA YA MOJTABA KHAMENEI, ATANGAZA KUISAMBARATISHA MAREKANI NA ISRAEL

MAMBO SABA (7) KWENYE HOTUBA YA MOJTABA KHAMENEI, ATANGAZA KUISAMBARATISHA MAREKANI NA ISRAEL

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]