DKT. NCHEMBA AKABIDHIWA NOTI MPYA 2025
Автор: Hazina TV - Wizara ya Fedha
Загружено: 2025-01-22
Просмотров: 345479
Описание: Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amepokea Noti Mpya kifani za shilingi elfu kumi, elfu Tano, elfu Mbili na shilingi elfu moja, kutoka kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, Noti ambazo zitaanza kutumika sambamba na Noti zilizopo hivi sasa, kuanzia tarehe Mosi Februari, 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: