ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 05/03/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-03-06

Просмотров: 3806

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 05/03/2026

MAFUNGO YA KWARESMA 2026 - SIKU YA 14

NENO KUU:
Mhubiri 3:1
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

Matendo 3:19
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;

MADA:
"KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON)

MWENDELEZO:
MISIMU & KUSUDI KATIKA MAISHA YA IBRAHIMU
(ABRAHAM'S SEASONS & REASON)
MWANZO 12:1-9

SOMO LA LEO:
UPAKO WA MAANDALIZI KATIKA MISIMU

3. KUKUGEUZA MOYO WAKO.
“Kukutengenezea sifa na tabia zinazohitajiwa na Kusudi”

1 Samwel 10 : 1 - 6
1 Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! Bwana hakukutia mafuta uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa Bwana, na kuwaokoa na mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa Bwana amekutia mafuta e uwe mkuu juu ya urithi wake.

2 Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na wanaume wawili karibu na kaburi la Raheli, katika mpaka wa Benyamini huko Selsa; nao watakuambia, Punda hao uliokwenda kuwatafuta wameonekana; na tazama, baba yako ameacha kufikiri habari za punda, anafikiri habari zenu, akisema, Nifanye nini kwa ajili ya mwanangu?

3 Kisha utakwenda mbele kutoka hapo, na kufika kwa mwaloni wa Tabori, na hapo watu watatu watakutana nawe, wanaokwea kumwendea Mungu huko Betheli, mmoja anachukua wana-mbuzi watatu, na mwingine anachukua mikate mitatu, na mwingine anachukua kiriba cha divai;

4 nao watakusalimu na kukupa mikate miwili; nawe utaipokea mikononi mwao.

5 Baada ya hayo utafika Gibea ya Mungu, hapo palipo na ngome ya Wafilisti; kisha itakuwa, utakapofika mjini, utakutana na kundi la manabii wakishuka kutoka mahali pa juu, wenye kinanda, na tari, na kinubi, na filimbi mbele yao, nao watakuwa wakitabiri;

6 na roho ya Bwana itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.

1 Samwel 6 : 1, 3
1 Basi, hilo sanduku la Bwana lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba.

3 Nao wakajibu, Mkilirudisha hilo sanduku la Mungu wa Israeli, msilirudishe kitupu; lakini msikose kumpelekea na matoleo ya kosa; hivyo mtapona, tena mtafunuliwa ni kwa sababu gani mkono wake haukuondolewa kwenu.

Zaburi 89 : 20 - 24
20 Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, Nimempaka mafuta yangu matakatifu.

21 Ambaye mkono wangu utakuwa thabiti kwake, Na mkono wangu utamtia nguvu.

22 Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa.

23 Bali nitawaponda watesi wake mbele yake, Nitawapiga wanaomchukia.

24 Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo, Na kwa jina langu pembe yake itatukuka.

UPAKO UNAKUTENGENEZEA SIFA ZIFUATAZO
1. Kusamehe
1 Samwel 26 : 8 - 12

2. Utayari
Matendo 13 : 36

3. Ujasiri
1 Samwel 17 : 34 - 37

4. Uaminifu
Zaburi 89 : 20 - 24

AGENDA ZA MAOMBI
1. Omba Mungu akupe upako wa kukuandaa na kukuvusha msimu uliopo ili ufikie kusudi.
2. Omba Mungu akupe upako utakaokutambulisha kwa wengine ili upate msaada kwenye msimu uliopo.
3. Omba Mungu akupake mafuta yatakaoinua watu wa msaada katika msimu unaopitia.
4. Omba Mungu akupe upako utakaokutengenezea tabia za kusudi.

Mhubiri : Mwl.Benjamin Abel.

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 05/03/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 06/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 06/03/2026

3. MBINU ZA KUONGEZA USIKIVU WA SAUTI YA MUNGU KIBINAFSI  // MWL CHRISTOPHER  MWAKASEGE

3. MBINU ZA KUONGEZA USIKIVU WA SAUTI YA MUNGU KIBINAFSI // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Ukombozi Wa Mwanamke Na Uzao Wake  | Day 4 | 02nd March 2026

Ukombozi Wa Mwanamke Na Uzao Wake | Day 4 | 02nd March 2026

Swahili Gospel Songs for Breakthrough 🙏 Jehova | Nitangoja Ahadi Yako | 2026 Worship Mix

Swahili Gospel Songs for Breakthrough 🙏 Jehova | Nitangoja Ahadi Yako | 2026 Worship Mix

#VIBE WANAWAKE UMOJA WA MAKANISA VIWANJA VYA KRISTO MFALME TABATA WA MKOA WA DAR ES SALAM

#VIBE WANAWAKE UMOJA WA MAKANISA VIWANJA VYA KRISTO MFALME TABATA WA MKOA WA DAR ES SALAM

LISSU ASHUSHA NONDO MAHAKAMANI KESI YA MGAWANYO WA MALI/ AGUSIA MADAI YA CHADEMA KUIBAGUA ZANZIBAR.

LISSU ASHUSHA NONDO MAHAKAMANI KESI YA MGAWANYO WA MALI/ AGUSIA MADAI YA CHADEMA KUIBAGUA ZANZIBAR.

Ешьте утром — и ваши ноги снова будут сильными | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Ешьте утром — и ваши ноги снова будут сильными | ПАМЯТЬ И МОЗГ

SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO

SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO

🔴#LIVE: IBADA YA MFUNGO WA KUZITOA FAMILIA ZETU MAHALI PASIPO PA RAHA YAO | DAY 7 | 06-03-2026

🔴#LIVE: IBADA YA MFUNGO WA KUZITOA FAMILIA ZETU MAHALI PASIPO PA RAHA YAO | DAY 7 | 06-03-2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 04/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 04/03/2026

Swahili Worship Songs 2026 | Nyimbo za Kuabudu na Kuomba | Gospel Mix | Alipo Bwana, Roho wa Bwana

Swahili Worship Songs 2026 | Nyimbo za Kuabudu na Kuomba | Gospel Mix | Alipo Bwana, Roho wa Bwana

NG`ENO BODY LOWERED INTO THE GRAVE WATCH WHAT HAPPENED!!

NG`ENO BODY LOWERED INTO THE GRAVE WATCH WHAT HAPPENED!!

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

🔴LIVE : SIKU YA MAOMBI DUNIA NZIMA | IBADA YA WANAWAKE YA UMOJA WA MAKANISA

🔴LIVE : SIKU YA MAOMBI DUNIA NZIMA | IBADA YA WANAWAKE YA UMOJA WA MAKANISA

СРОЧНЫЕ НОВОСТИ / МАРК ФИНЛИ - 2026

СРОЧНЫЕ НОВОСТИ / МАРК ФИНЛИ - 2026

HAUFANANISHWI NA KITU KINGINE | Powerful African Gospel Worship | PABO Gospel Music

HAUFANANISHWI NA KITU KINGINE | Powerful African Gospel Worship | PABO Gospel Music

PART 2 : THE CHURCH IN THE MARKETPLACE  | MARCH 03RD 2026 | EV DANIELY JOSHUAN

PART 2 : THE CHURCH IN THE MARKETPLACE | MARCH 03RD 2026 | EV DANIELY JOSHUAN

Mch Moses Magembe - CHANZO CHA KUSHINDWA KUOMBA

Mch Moses Magembe - CHANZO CHA KUSHINDWA KUOMBA

JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris

JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris

SIKU 3 ZA KUWEZESHWA - DAY 3 - EVENING SESSION || PASTOR GEORGE MUKABWA || 05/03/2026

SIKU 3 ZA KUWEZESHWA - DAY 3 - EVENING SESSION || PASTOR GEORGE MUKABWA || 05/03/2026

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]