Kombe la Dunia: Tazama maeneo yaliopata umaarufu nchini Qatar
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-12-14
Просмотров: 3013
Описание:
Leo saa nne usiku, Morocco, timu pekee kutoka Afrika iliyosalia katika michuano ya Kombe la Dunia itakutana na mabingwa watetezi Ufaransa katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwa fainali inayotarajiwa kuchezwa tarehe 18 Disemba.
Mwanahabari wetu Salim Kikeke amezuru maeneo mbalimbali ya kuvutia na ambayo yapata umaarufu kutokana na michuano hiyo nchini Qatar.
#bbcswahili #kombeladunia2022 #qatar2022
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: