Njia Mpya ya kupika Ndizi Mzuzu (Ndizi Mbivu) | Kama una Ndizi Mzuzu pika hivi| Easy Banana Fritters
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2021-10-05
Просмотров: 24288
Описание:
Je unajua njia mbadala ya kupika ndizi Mzuzu? Angalia njia mpya ya kupika ndizi Mzuzu. Mahitaji yake ni rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;
Ndizi Mzuzu (zilizoiva au ndizi mbivu za kawaida) 8
Unga wa ngano (250g / vikombe 2 vya chai)
Chumvi (kijiko 1 Cha chai)
Yai 1
Maji (kikombe 1 1/2 Cha chai)
Mafuta ya kupikia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: