ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maneno ya Lowassa Kwenye Msiba wa Marehemu Kingunge

Автор: CHAMPION HABARI

Загружено: 2018-02-02

Просмотров: 4756

Описание: Mzee Kingunge Kuzikwa Jumatatu Dar
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya maziko ya mwanasiasa huyo, Omary Kimbau amesema Kingunge atazikwa saa tisa alasiri. Hata hivyo, amesema leo Ijumaa Februari 2,2018 kuwa utaratibu na mipango mingine inaendelea kufanyika.

Kingunge amefariki dunia leo alfajiri akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Alikuwa akiuguza majeraha baada ya kung’atwa na mbwa mwishoni mwa mwaka jana nyumbani kwake.

Mpwa wa Kingunge, Tony Mwiru amesema familia inapitia kipindi kigumu kwa kuwa hivi karibuni wamempoteza mama yao, Peras. Enock Mwiru ambaye ni mdogo wa marehemu na mtangazaji wa zamani wa iliyokuwa Redio Tanzania (RTD), amesema Kingunge alikuwa kiunganishi cha familia.

Mabalozi Juma Mwapachu na Ali Mchumo waliowahi kufanya kazi na Kingunge wamefika nyumbani kwa marehemu Kijitonyama kuhani msiba huo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maneno ya Lowassa Kwenye Msiba wa Marehemu Kingunge

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Lowassa na viongozi wengine walivyouaga mwili wa Mke wa Kingunge

MWANZO MWISHO: Kingunge asimulia alivyong'atwa na mbwa wake

TAZAMA  VIONGOZI WALIVYOMIMINIKA KUMUAGA KINGUNGE

MAZIKO YA KINGUNGE MWANZO MWISHO. VIONGOZI WATOA MAONI YAO

TUMEFARIJIKA SANA NAMNA AMBAVYO MMETOKA MBALI NA KUSHIRIKI PAMOJA KUMPUNZISHA BABA YETU ALEX LOWASSA

MSAFARA wa WAZIRI MKUU MAJALIWA UKIWASILI MSIBANI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA ALIYEFARIKI ASUBUHI

Lowassa na mkewe walivyotinga Ikulu kwa Rais Magufuli | Amkimbilia | Wazungumza pamoja

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI LA  MRADI WA MAJI WA MIJI 28-SHANWE

Mzimu wa Lowassa Waitafuna CCM

Mzimu wa Lowassa Waitafuna CCM

Lowassa alivyowasili mbele ya maelfu ya Watanzania Arusha

Lowassa alivyowasili mbele ya maelfu ya Watanzania Arusha

WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI LA  MRADI WA MAJI WA MIJI 28-SHANWE

WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA MIJI 28-SHANWE

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

MKE WA HAYATI LOWASSA ATOKWA MACHOZI AKIIMBA WIMBO ALIOUPENDA MUME WAKE

Lowassa Aeleza Alichohojiwa na DPP, Mbowe Naye Alipuka Mazito Kuhusu Uamsho

"Taifa limempoteza mpiganaji maarufu na mwenye uwezo." Edward Lowassa

Mzee Kingunge Ngombale  Mwiru amepinga vikali kuwepo kwa serikali tatu katika katiba mpya ijayo.

KINACHO ENDELEA MASAKI NYUMBANI KWA ALIYE KUWA WAZIRI MKUU MSTAAFU MAREHEMU EDWARD LOWASA

KIPYENGA CHA MWISHO 12/03/2026 | Yaliyotikisa Singida BS vs Simba; TRA United vs Namungo FC

ALIYOSEMA DKT. MAGUFULI KUHUSU LOWASSA ARUSHA | ULIYOFANYA HAYATASAHAULIKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]