30 MINUTES OF DEEP WORSHIP: Live at Embasava Stage | Levite Riders
Автор: Levite Riders Missioners
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 729
Описание:
Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu... Bwana Mungu wa Majeshi." 🕊️🙌
Karibu katika dakika 30 za ibada ya kina iliyorekodiwa moja kwa moja kutoka Embasava Stage, Nairobi. Kupitia huduma ya Levite Riders Missioners Intl, tunainua madhabahu ya sifa katikati ya mji, tukiamini kuwa uwepo wa Mungu unaweza kubadilisha mazingira yoyote.
Kama unatafuta utulivu wa moyo, wakati wa maombi, au unataka tu kumwabudu Mungu, video hii imetengenezwa kwa ajili yako.
Mfuatilio wa Nyimbo (Timestamps):
0:00 Mtakatifu (Holy) 👑
3:38 Salama Rohoni (It is Well) 🕊️✨
7:10 Hakuna wa Kufanana Naye 🧱
13:13 Tuko Mbele Zako (In Your Presence) 🙏
Tusaidie kufikisha Injili mitaani:
Paybill: 522533 | Account: 7956544
M-Pesa: 0706557454
Subscribe kwa video zaidi za ibada kila wiki!
#LeviteRiders #DeepWorship #EmbasavaStage #StreetAltar #NairobiRevival #SalamaRohoni #Mtakatifu #GospelKenya2026#Levite Riders
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: