KAYUMBA MAPITO (OFFICIAL AUDIO)
Автор: Kayumba
Загружено: 2025-12-06
Просмотров: 20921
Описание:
Artist #KAYUMBA
SONG #MAPITO
Producer MASSILE 🎹
MAPITO :Ni wimbo unaosimama kwenye hali zote za Majonz, Majanga ya Kimataifa , kuwapoza na kutia moyo wale Woote Wanaombania maisha yao dhidi ya changamoto wanazozipitia kwenye Halakat za kila siku kwenye Maisha. :MAPITO: Hii ngoma ikawe Dawa ya kupunguza machungu kwa woote waliopotezelewa na Wapendwa wao .
HAYA NI MAPITO TUTAPITA 🙏
(MAPITO LYRICS🎵)
MAPITO hayabaki , hata yawe mazito huaga hayabakigi , Maumivu ya vifoo ya ndugu zetu tunaandika hasauliki Ndo njia yetu kuu wote tutapita haifichiki ., Mengine Yanauma ila tunayamezea tunabaki
yetu njia , Woote tumeubwa kwenye hii dunia Pumzi ya bure hakuna anaelipia .
(Brige)
Mabaya ukifanya leo kuna kesho , vibaya kutumia chako cheo kuzulumu langu jasho
Haya ukifanya leo Kuna sheshoo vibaya kutumia chako cheo kuniumiza mwenzako
HAYA NI MAPITO
(CORASS) Ni mapitoo kuna leo kuna kesho
Vers 2)
Zinakuzunguka kesi , huna ndugu rafiki haeleweki , Unaona inakuandama mikosi Kuna kesho mwenye haki haimtupii .,
Hili nalo litapitaa Tunamtegemea mmoja wa msaaada Mungu baba ndio msaada na tunaludi kwakwe kwa Ibada Ahhhh aaaaah
(Brige)
Mabaya ukifanya leo kuna kesho , vibaya kutumia chako cheo kuzulumu langu jasho
Haya ukifanya leo Kuna sheshoo vibaya kutumia chako cheo kuniumiza mwenzako
HAYA NI MAPITO
(CORASS) Ni mapitoo kuna leo kuna kesho
#kayumba #musica #tanzania #africa #reggaeton
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: