Siri ya Consolata Lubuva kung'ara kidato cha nne Tanzania
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-01-18
Просмотров: 4142
Описание:
Consolata Lubuva: ’Kwa juhudi binafsi nilifanya mitihani ya walionitangulia zaidi ya mia moja kila somo ili kujiweka sawa kabla ya mtihani waTaifa’
Ni mhitimu wa kidato cha nne aliyeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa akielezea baadhi ya mbinu alizozitumia kuhakikisha anapata ufaulu wa juu na kuibuka kidedea katika mitihani ya kumaliza kidato cha nne kwa mwaka 2021
Mwandishi wa BBC @frankmavura alimtembelea nyumbani kwao Salasala jijini Dar es salaam na kutuandalia taarifa ifuatayo.
#bbcswahili #elimu #wanafunzi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: