Fid Q feat Mex Cortez & Lord Eyez - SIMBA (lyric Video)
Автор: Fid Q
Загружено: 2024-08-16
Просмотров: 68418
Описание:
SIMBA
FID Q verse
Mitaa inahoji kama niko real au niko feki
Nawaambia kama nimedozi wajue ni deals tu hazieleweki
Sio Siri, sio revola, sio chupi.. ninaisaka keki
Na sio uzee wa kulala spana, kuamka jeki
Bang kama Nako, Peter, Ritha au Imelda
Golden state warriors, Sacramento Kings Chris Webber
El largo camino hacia la libertad #pentimento - Idris Elba
Life is full of twists & turns.. Le madrina Griselda
Na asiyepotea huenda ni mtambo au kichwa
Asiyekosea hajawahi jaribu jambo jipya
Nina nguvu zaidi ya wazo ambalo muda wake umefika
Hivyo usijitusu kwenye hizi hustle ikiwa sio mbabe wa hizi vita
Nchi ya kitu kidogo.. nitaishi vipi ikiwa sina kitu!?
Tajiri anazikusanya tu kila siku
Maskini analia.. hajauona mchana hajauona usiku
Asiyekujua hakuthamini hakuoni ishu
Anayekujua hakuamini na hamna bifu
You win some you lose some.. hivyo ndivyo huendaga
Na sio kila ninachokilenga huwa nina nia ya kukipata
Na mnachokula hakinishibishi.. mnajua
So mnavyonipiga pini ili nisiwini mnazingua..
usivutiwe nikishika pesa na ukasahau vile nili-hustle
nina machozi mengi yanayonilenga na hayajafika kwa macho
Pesa haibadili mikono tu.. hubadili na watu pia
sio wenye midomo tu, hata wale watu haujawahi sikia
SIMBA
2nd verse:
MEX CORTEZ
Yeah
I'm on that Presidential mood tena kirahisi(rais)
mzee
255 to the World on my License plate
Man these are the type of words that the wise exchange
So why explain when they see me the prices change
Leo season tumekutanishwa na nyota
Kila feature wanafichwa kutosha
Vichwa nachosha
Unaweza kurithi kukosa au kicheshi ukaokotwa
Last born first to Rise nani Mex na Ngosha
I keep it a hundred ka niko na kazi mia
Sijui nani ka azimia
Naskia kazimia
Kwa kuwa anazimia hizi kazi anaposkia
Mi wa dunia
Even flat earthers wananisifia(sphere)
Room full of kangas yeah bado inanesa
Yupo manzi ya kitanga alafu namuweza(muheza)
Ghafla nilivaaga kiatu chenye dawa
Kila napowakanyagia natia adabu kwa wazawa
Muonekano sio wa kibantu
Ila watu ndio wakawa wanagundua kibongo bongo huyu kijana ako sawa
So kama haunifahamu usibonge usikanushe
Nikijitoa ufahamu wala usiombe ninyanyuke
Don't kill your own game ile kinyonge ukumbuke
Ni sawa na pusha anayewaza ajinyonge alafu avute
Never seen a Lion Lying
Thats a Fire Sign
I just brought back the old Ngosha from his prime time
Now hold the torch for me Mex cause you rhyme tight
I leave the game in safe hands not for lime light
Aye aye captain catch a high five
See the proper rappers are goners
The corporates laughing you homeless
Whats more than magic is falling
They call me I bring open caskets
Problematic more eradic look me in the eyes and panic
Trying to hologram me while I hold a grammy upon it
But non of that really important
Walking all on the path of my moment
Coming for blood like brother I'm home
I been the hope of the continent
Man I'ma just a die a relic
Apply the pressure
Revitalize the mic
And let em define the credits
Its lonely at the top I'm a Viking on psychedelics
Verse 3:
Lord Eyez
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Tanzaniia inahangaika kwa kukosa Taarifa
Wanasiasa wanaongea tu kukosa Maanisha
ila hii nchi ya Ahadi lazima tutafika
Fanikisha ‘Insha’Tisha Maliiza
Uzalendo ukaua UKAWA’SAWASAWA
uchawa umekuwa rasmi saa waanzishe Mitaala
Hala Hala jirani kwangu kunavuja ‘njoo kwangu SAWA
Kusifia ndio imebaki midomoni mwao
Haah’Bado tunahangaika na Zahanati ‘Madawati na VYOO
Mtaani watu wanalala kimanati chumba kimoja na CHOO
Kwa Hii NCHI ya AHADI jomba ni SOOO
What are we missings?Mbona hatuwi fiti?
Economical Strategy Mmhhff mmmhhhfff WIZII
Magharibi wanatukimbiza mchakamchaka TIZI,
Why are you scare Nigga?Go to CHURCH
Weeee Terror🥷🏿 Nataka M-catch
I’m a L.O.R.D ‘ wiiwiii-Niko na MCHOMVU tunaendesha JIJI’JiiJii
WARAWARA akiwanywesha UJI’Hamuji
mmmhhhhhh Emoji🔥 Sababu za kula nauli shorty akija HAKUJI
and you know she’s freaky Like Bad & BOUJEE
Pastor TONY na MAONO yaliyojaa MAUJUZI
Nasisi NDOZETU Kuwakilisha Sio toka jana Au juzi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: