Jinsi Ya Kutengeneza Mastercard Au Visa Card( Yas & Vodacom).
Автор: Itsdandevan
Загружено: 2025-04-22
Просмотров: 7193
Описание:
Kwenye hii video utajifunza jinsi ya kutengeneza Yas Mastercard na Vodacom Visa Card.
Pia nimetoa maoni yangu kuhusu kadi gani ni nzuri na ni kwanini nimesema hivyo, kwa hiyo ili uweze kujua ni kadi ipi nzuri basi tazama video hii mpaka mwisho.
NB: VIDEO HII SIO SPONSORED BALI HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI KUTOKA NA EXPERIENCE YANGU BAADA YA KUZITUMIA KADI HIZI.
Pia kadi hizi utaweza kuzitumia katika kulipia vitu mtandaoni ikiwepo na subscription mbali mbali na malipo ya papo papo, ila kuna baadhi ya vitu hutoweza kulipia kutokana na limitations za kadi hizi.
Naomba usisahau kuSubscribe, Like & Share kwa marafiki zako na familia.
Social Media zingine:
TikTok: https://www.tiktok.com/@dandevantz?_t...
Instagram: https://www.instagram.com/itsdandevan...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: