ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WANAOLIMA BANGI ARUMERU; SERIKALI KUTAIFISHA MASHAMBA YAO

Автор: Arusha District Council

Загружено: 2023-07-14

Просмотров: 2416

Описание: Wananchi wilaya ya Arumeru, wanaojishughulisha na kilimo haramu cha bangi, wametakiwa kuwacha mara moja kilimo hicho huku serikali ikiwa na mkakati wa kuwachukulia hatua kali ikiwemo kutaifisha mashamba na mali zao, endapo watabainika kuendelea na kilimo hicho cha bangi.Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, wakati wa oparasheni maalumu ya kutokomeza kilimo cha bangi kijiji cha Kisimiri Juu, ikiwa ni oparesheni ya kitaifa ya kupiga vita na kutokomeza madawa ya kulevya nchini.Katika operesheni hiyo, iliyoongozwa na Mkuu wa wilaya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya, jumla ya magunia 270 ya bangi na Kilo 300 za mbegu zilikamatwa na kuteketezwa kwa moto huku watuhumiwa wanne wakikamatwa na kuchukuliwa na Jeshi la Polisi.Hata hivyo Mkuu huyo wa wilaya amesikitishwa na kitendo cha wanachi wa kijiji hicho kufuta namba za anuani za makazi zilizowekwa kwenye nyumba zao, jambo ambalo linawafanya kushindwa kutambua rasmi magunia ya bangi ndani ya nyumba hizo ni ya nani.Aidha ameweka wazi mkakati wa serikali sasa ni kurasmisha mashamba yote ya wananchi wa kijiji hicho ili kuweza kutambua mmiliki halisi na halali wa shamba na kurahisisha utambuzi wa mtu anayelima bangi kwenye shamba husika."Serikali kupitia Mamlaka ya kudhibiti Madawa ya Kulenya walitoa elimu kwa wananchi kuwacha kulima bangi lakini bado wapo baadhi ya watu wanaendelea na kilimo hicho, tumekamata magunia 270 na Kilo 300 za mbegu jambo ambalo linaashiri bado kilimo hicho kinafanyika sana"Naye Mwakilishi wa Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kuupambana na Dawa za kulevya, Afisa Operationi Jackson George, amesema kuwa licha ya Mamlaka hiyo kutoa elimu ya matumizi ya bangi lakini bado wanachi wa Kisimiri wanaendelea kulima na kuuza zao hilo kwa siri, lakini Serikali itaendela kutoa elimu na kuchukua hatua kali za kisheria kwa yeyote atakayebainika.Operasheni ya kutokomeza kilimo cha bangi inaendelea, katika wilaya ya Arumeru hukue serikali ikiwa na mikakati thabiti ya kahakikisha wananchi wa akisimiri Juu na Chini halmashauri ya ameru na Kijiji cha Losinoni Juu halmashauri ya Arusha wanaachana na kilimo cha bangi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WANAOLIMA BANGI ARUMERU; SERIKALI KUTAIFISHA MASHAMBA YAO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

HEKARI 807 ZA BANGI ZATEKETEZWA MARA, MAGUNIA 507 ya BANGI YAKAMATWA

HEKARI 807 ZA BANGI ZATEKETEZWA MARA, MAGUNIA 507 ya BANGI YAKAMATWA

TAZAMA#SHEHENA YA BANGI ILIVYOTEKETEZWA KISIMIRI JUU ARUSHA.

TAZAMA#SHEHENA YA BANGI ILIVYOTEKETEZWA KISIMIRI JUU ARUSHA.

ARUSHA HAIPOI, TUKIO LA KUSHTUKIZA LAKUTA BANGI HEKARI 50 ZIMELIMWA KATIKATI YA MAHINDI NA ALIZETI

ARUSHA HAIPOI, TUKIO LA KUSHTUKIZA LAKUTA BANGI HEKARI 50 ZIMELIMWA KATIKATI YA MAHINDI NA ALIZETI

Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”

Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”

DC Jerry Muro alivyoongoza kikosi kumdaka babu anayetunza bangi | Simu yatumika kunasa mtandao wake

DC Jerry Muro alivyoongoza kikosi kumdaka babu anayetunza bangi | Simu yatumika kunasa mtandao wake

ARUMERU: Hekari 13 za Migomba zakatiwa chini, Diwani ahusishwa

ARUMERU: Hekari 13 za Migomba zakatiwa chini, Diwani ahusishwa

Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

KAMANDA MUROTO ALIVYOMNASA JAMAA ALIYEKUWA ANASAFIRISHA BANGI KWENDA ARUSHA

KAMANDA MUROTO ALIVYOMNASA JAMAA ALIYEKUWA ANASAFIRISHA BANGI KWENDA ARUSHA

SAFARI YA TRENI YA ABIRIA DAR, MOSHI NA ARUSHA ,  WANANCHI WATOA NENO WATALII NAO WASIFIA HUDUMA

SAFARI YA TRENI YA ABIRIA DAR, MOSHI NA ARUSHA , WANANCHI WATOA NENO WATALII NAO WASIFIA HUDUMA

GARI LA AJABU LILIVYOWASHANGAZA WATU ARUSHA, JAMAA KAINUNUA MILIONI 68

GARI LA AJABU LILIVYOWASHANGAZA WATU ARUSHA, JAMAA KAINUNUA MILIONI 68

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

DC ARUMERU,INJIA EMMANUELA KAGANDA KAMALIZA UTATA WA MGOGORO WA ARDHI ULIYODUMU MIAKA 4 OLDONYOSAMBU

DC ARUMERU,INJIA EMMANUELA KAGANDA KAMALIZA UTATA WA MGOGORO WA ARDHI ULIYODUMU MIAKA 4 OLDONYOSAMBU

Wananchi wa Longido - Arusha wacharuka kuhusu fidia | Mbunge alifikisha ngazi ya Taifa

Wananchi wa Longido - Arusha wacharuka kuhusu fidia | Mbunge alifikisha ngazi ya Taifa

ARUSHA NOMA! BINTI AMVUTA POLISI MGUU, NUSURA AMCHANIE NGUO AKIDAI SIMU YAKE..

ARUSHA NOMA! BINTI AMVUTA POLISI MGUU, NUSURA AMCHANIE NGUO AKIDAI SIMU YAKE..

WANANCHI MONDULI WACHOSHWA NA MIGOGORO YA ARDHI, WATAKA SULUHU YA KUDUMU

WANANCHI MONDULI WACHOSHWA NA MIGOGORO YA ARDHI, WATAKA SULUHU YA KUDUMU

"BANGI YA ARUSHA NDIO BANGI KALI ZAIDI DUNIANI" - RC MONGELA Mbele Ya RAIS SAMIA

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMPONGEZA RC MAKONDA KWA KUWAJALI WANANCHI ARUSHA.

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMPONGEZA RC MAKONDA KWA KUWAJALI WANANCHI ARUSHA.

BANGI NIBANGUE

BANGI NIBANGUE

TAZAMA NG'OMBE WA MILIONI 12 ANAYEFUGWA ARUMERU MKOANI ARUSHA.

TAZAMA NG'OMBE WA MILIONI 12 ANAYEFUGWA ARUMERU MKOANI ARUSHA.

VIONGOZI WA KIMASAI WAVURUGANA, IGP SIRRO AOMBWA KUINGILIA

VIONGOZI WA KIMASAI WAVURUGANA, IGP SIRRO AOMBWA KUINGILIA "WANACHANGISHA MILIONI 2"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]