ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

CCM YAWAHAKIKISHIA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE

Автор: Zaka Tv

Загружено: 2025-10-06

Просмотров: 9

Описание: ZAKA TV HABARI
📍CCM YAWAHAKIKISHIA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE

Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi ( CCM ), Balozi,Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametamatisha kampeni za kunadi sera za CCM Mkoani Tabora , ambapo amesema endapo Chama hicho kitapewa ridhaa kimedhamiria kuendelea kuwahakikishia usalama na amani watanzania wote.

Nchimbi ameyasema leo Oktoba 06, 2025 wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Igalula , lililopo Wilayani Uyui ,mkoani Tabora .
" Chama chetu cha Mapinduzi kimedhamiria kulifanya katika miaka mitano ijayo ni kuhakikisha usalama na amani ya Watanzania vinaendelezwa" Nchimbi amesema .

Aidha . Dkt. Nchimbi ameongezea kuwa katika kukabiliana na migogoro ya ardhi kati ya Wakulima na Wafugaji , Serikali ya CCM itaanzisha mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa kuwatenganishia maeneo ya kufanyika shughuli zao ili kuepusha miingiliano .

Akisoma irani ya CCM ya 2025/ 2030 Dkt. Nchimbi ,kufatia maombi ya Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Igalula kupitia CCM ,Juma Mustapha, juu ya ubovu wa barabara katika jimbo hilo , Nchimbi amesema serikali ya CCM itakwenda kujenga barabara za viwango tofauti tofauti eneobhilo ili kurahisisha usafirishaji . #zakatv #tundulissu #ccm #chadema #taifa #tanzania #samiasuluhuhassan #jambotv #geita

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Jimbo hilo wameishuru serikali kwa kuwasogezea huduma mbali mbali za kijamii ,huku wakiomba ziwe endelevu kwa wagombea ambao watawapatia ridhaa ya kuongoza nchi .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
CCM YAWAHAKIKISHIA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ

⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ

MAAGIZO YA DKT.DAMAS  NDUMBARO  WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

MAAGIZO YA DKT.DAMAS NDUMBARO WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

😮Какой ПОЗОР! Друг Кадырова СРОЧНО ОБРАТИЛСЯ по ИРАНУ (ВИДЕО). Ляпнул ТАКОЕ, что все остолбенели

😮Какой ПОЗОР! Друг Кадырова СРОЧНО ОБРАТИЛСЯ по ИРАНУ (ВИДЕО). Ляпнул ТАКОЕ, что все остолбенели

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

Will Republicans join Democrats in impeaching Pam Bondi? 

Will Republicans join Democrats in impeaching Pam Bondi? 

🔥Нервный ГИРКИН ЭКСТРЕННО ОБРАТИЛСЯ к россиянам! ПРИЗНАЛ УСПЕХ ВСУ и ПОСЛАЛ Путина. КАЗАНСКИЙ

🔥Нервный ГИРКИН ЭКСТРЕННО ОБРАТИЛСЯ к россиянам! ПРИЗНАЛ УСПЕХ ВСУ и ПОСЛАЛ Путина. КАЗАНСКИЙ

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 07.03.2026 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 07.03.2026 | TV Republika

ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/

ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/"NATAKA HAKI YANGU"

MOCNE! Czarnek gasi Tuska:

MOCNE! Czarnek gasi Tuska: "Lepszy zakuty łeb niż PUSTY". Poszło o miliardy na polską armię!

Lektury (nie) obowiązkowe. Pan Tadeusz | Kabaret na żywo. Chyba Czesuaf

Lektury (nie) obowiązkowe. Pan Tadeusz | Kabaret na żywo. Chyba Czesuaf

HEKIMA ZA WAZEE KUSAIDIA KUDUMISHA AMANI YA NCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025.

HEKIMA ZA WAZEE KUSAIDIA KUDUMISHA AMANI YA NCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025.

MIAKA 49 YA CCM HATUTAKI KIONGOZI ANAYEJIBU WANANCHI VIBAYA - MWENYEKITI WA CCM SERENGETI

MIAKA 49 YA CCM HATUTAKI KIONGOZI ANAYEJIBU WANANCHI VIBAYA - MWENYEKITI WA CCM SERENGETI

💥ЛИПСИЦ раскрыл схему ОРБАНА! Как Венгрия ЗАРАБАТЫВАЕТ на войне в Украине?

💥ЛИПСИЦ раскрыл схему ОРБАНА! Как Венгрия ЗАРАБАТЫВАЕТ на войне в Украине?

Rosja weszła do wojny przeciw USA / Trump żąda kapitulacji!

Rosja weszła do wojny przeciw USA / Trump żąda kapitulacji!

🔥ЯКОВЕНКО РАЗНОСИТ Соловья! Не подбирает слов в эфире. Разоблачил ПОЗОРНЫЕ ПРЕДСКАЗАНИЯ о Путине

🔥ЯКОВЕНКО РАЗНОСИТ Соловья! Не подбирает слов в эфире. Разоблачил ПОЗОРНЫЕ ПРЕДСКАЗАНИЯ о Путине

KIGOGO WA CHADEMA AREJEA CCM

KIGOGO WA CHADEMA AREJEA CCM

Panika w Rosji. FSB ruszyło z ARESZTAMI. Putin dostał TECZKĘ. Wzięli GENERAŁA. To WYROK dla Szojgu

Panika w Rosji. FSB ruszyło z ARESZTAMI. Putin dostał TECZKĘ. Wzięli GENERAŁA. To WYROK dla Szojgu

Ziemkiewicz MIAŻDŻY Unię!

Ziemkiewicz MIAŻDŻY Unię! "To banda niekompetentnych idiotów". Tusk ulega Niemcom? | Gość Dzisiaj

50h z Plemieniem Kanibali (Papua)

50h z Plemieniem Kanibali (Papua)

Czarnek vs. Tusk: brutalna gra o głosy zakutych łbów | Salonik Polityczny Rafała Ziemkiewicza

Czarnek vs. Tusk: brutalna gra o głosy zakutych łbów | Salonik Polityczny Rafała Ziemkiewicza

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]