Baada ya wakulima kuachana na mahindi, bei ya viazi yaporomoka Njombe
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-25
Просмотров: 9374
Описание:
Bei ya viazi mviringo imeporomoka katika soko mkoani Njombe, hatua ambayo inatajwa kusababishwa na wakulima wengi kuachana na kilimo cha mahindi baada ya kukosa soko la uhakika msimu uliopita.
#AzamTVApp #AzamTVUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: