NIMEJITOA SADAKA || KAZI HII NI NGUMU, DK MAGUFULI ||AHAID HOSPITAL KUBWA KISESA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-09-06
Просмотров: 55590
Описание: Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Dk John Pombe Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu nay a kujitoa sadaka maana ina changamoto nyingi. Ameyasema haya akiwa katika eneo la Kisesa Mkoani Mwanza na kuahidi kuwa akichaguliwa tena kuongoza nchi kwa miaka mitano ijayo atahakikisha kuwa anajenga hospitali kubwa katika mji huo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: