TUMETEMBELEA SHAMBA LA MTEJA ANAYETAKA KULIMA MINAZI – USHAURI WA KITAALAM, KILIMO CHA KIBIASHARA
Автор: KilimoPro Tanzania
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 175
Описание:
Katika video hii tumetembelea shamba la mteja anayetarajia kuanza kilimo cha minazi kibiashara, tukafanya tathmini ya eneo, ubora wa udongo, upatikanaji wa maji pamoja na maandalizi muhimu kabla ya kupanda miche ya minazi. Tumejadili hatua za msingi zinazotakiwa kufuatwa ili kuhakikisha uzalishaji mzuri na faida ya muda mrefu, ikiwemo nafasi sahihi ya upandaji, uchaguzi wa miche bora, na utunzaji wa shamba katika hatua za mwanzo. Kama unafikiria kuwekeza kwenye kilimo cha minazi, video hii itakupa mwanga na maarifa muhimu ya kuanza kwa usahihi. Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi ya kilimo chenye tija 🌴
Wasiliana nasi +255 715 866 027
Social Media: @kilimoprotanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: