NA KUINULIA MACHO YANGU
Автор: @INSTRUMENTALS WORSHIP FOR PRAYER
Загружено: 2021-02-27
Просмотров: 25448
Описание:
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
My God
Mungu wanguuuu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
I will lift up mine eyes unto the hills, from whence cometh my help
Nitayaa inua macho yangu nitazame milima
My help is in the Lord who created the heavens and the earth
Msaada wangu u katika bwana uliyeziumba mbingu na nchi

I lift you up
Nakuinuliaa
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
My God
Mungu wanguuu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
You are all in both the beginning and the end
Wewe ni yote katika yote mwanzo pia na mwisho
Your promises are true and our God does not change
Ahadi zako ni za kweli Mungu wetu haubadiliki
You are all in both the beginning and the end
Wewe ni yote katika yote mwanzo pia na mwisho
Your promises are true and our God does not change
Ahadi zako ni za kweli Mungu wetu haubadiliki
I raise my eyes to you
Nakuinulia macho
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
You are my father
Wewe ni baba yangu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
My God
Mungu wanguuu
Reach out your hand, father, and touch me and bless me
Nyoosha mkono wako baba uniguse unibariki
Straighten my path sir may your name be blessed
Nyoosha mapito yangu bwana jina lako libarikiwe

You are my support
Wewe ni msaada wangu
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
(You are all in all)
(Wewe ni yote katika yote)
And lift up my eyes and lift up
Na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
(You are my God you care about me)
(Wewe ni Mungu wangu unanijali)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: