DAR ES SALAAM DERBY | Tambo za mashabiki wa Azam FC na Yanga SC kuelekea mchezo wao leo usiku
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 3040
Описание:
DAR ES SALAAM DERBY | ‘‘..hii ni mechi ngumu, kwa sababu wachezaji wetu na Azam wamelingana..’’, Sehemu ya maneno ya shabiki wa Yanga, Twaha Chegeka, akizungumzia namna walivyojipanga kupata ushindi mbele ya Azam FC.
Kwa upande wake Oktavian Achimpota, maarufu kama Mwenezi wa Azam FC ameelezea kiwango cha wachezaji wa Azam kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC katika Dimba la Benjamin Mkapa.
Mechi ni saa 2:30 usiku na itakuwa LIVE: #AzamSports1HD
Imeandaliwa na @rajjmsangi
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #AzamFC #YangaSC #AzamYanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: