MAKALA MAALUM YA MAFUNZO YA BIBLIA KWA WATOTO KIPINDI CHA LIKIZO | VOCATIONAL BIBLE STUDIES | VBS
Автор: MSANGALALEE SDA CHURCH
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 52
Описание:
Karibu katika Makala Maalum ya Mafunzo ya Biblia kwa Watoto Kipindi cha Likizo (Vocational Bible Studies – VBS). Kipindi hiki kimeandaliwa mahsusi kuwasaidia watoto kujifunza Neno la Mungu kwa njia rahisi, yenye kuvutia na inayojenga maadili mema katika maisha yao ya kila siku
VBS ni programu maalum inayochanganya mafundisho ya Biblia, nyimbo za injili, hadithi za Biblia, michezo ya kujifunza pamoja na shughuli za ubunifu, ili kuwafanya watoto wajifunze kwa furaha na kukua kiroho.
Tunawaalika wote kufuatilia makala hii ili kujifunza pamoja na kukuza imani katika Neno la Mungu.
Usisahau:
👍 Like
💬 Comment
🔔 Subscribe ili kuendelea kubarikiwa na mahubiri na vipindi mbalimbali kutoka hapa Kanisani Msangalalee
#MsangalaleeSDA
#DodomamakuluSDA
#hopechanneltanzania
#Caringgodtv
#Didahtv
#Tossytvnetwork
#savptv
#VacationBibleSchool
#MafunzoYaBiblia
#WatotoNaBiblia
#SDA
#Adventist
#SabbathSchool
#AdventistKids
#BibleStudyForKids
#ChristianKids
#WatotoKanisani
#SabatoNjema
#NenoLaMungu
#KidsMinistry
#SDAKids
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: