Ndoto Zimetimia! Sesilia Aishi Maisha ya Ndoto Zake Kupitia Mafunzo ya Ufundi stadi kutoka TAWAH
Автор: TAWAH TANZANIA
Загружено: 2025-08-15
Просмотров: 193
Описание:
Karibu kwenye makala maalum kuhusu mafanikio ya Sesilia Aluthi Gombaliwe, mhitimu wa Chuo cha Ufundi Stadi TAWAH mwaka 2025. Baada ya kupata mafunzo ya kina katika fani ya ujenzi na umeme, Sesilia sasa anatekeleza kazi za ufundi umeme kwa ustadi mkubwa kama sehemu ya mafanikio ya kielimu na kitaaluma.
Video hii ni ushuhuda wa namna mafunzo ya ufundi yanavyoweza kubadili maisha na kuwezesha vijana kujiajiri au kuajiriwa. Tunajivunia mafanikio yake kama chuo na tunakualika kuitazama safari yake ya kipekee.
🔧 TAWAH - Tunaleta Ujuzi, Tunajenga Maisha!
👉 Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa makala zaidi za mafanikio ya wanafunzi wetu!
#TAWAH #Mafanikio #UfundiUmeme #SesiliaGombaliwe #VETA #UfundiStadi #ElimuYaUfundi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: