NMB MAPINDUZI CUP: Alicĥozungumza kocha wa Azam FC kuhusu Yanga kuelekea fainali
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 1022
Описание:
"...ni bora siyo kwa sababu wanaitwa Yanga, bali ni kwa sababu ya aina ya wachezaji walionao"
Mwanzo mwisho alichozungumza Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge kuelekea fainali dhidi ya Yanga…
Aeleza ni kwanini anasema Yanga ni timu bora zaidi kwa sasa Tanzania.....
Asema wao wanahitaji kuwa bora zaidi kiwanjani kuliko Yanga na ndiyo matarajio yao…
Aeleza sababu za kuwapumzisha baadhi ya Nyota wake kwenye mechi zilizopita akisema haikuwa kwa sababu ya fainali bali walihitaji mapumziko ya lazima kutoka na kucheza mechi nyingi mfululizo na pia..
“….nataka kuona kila mchezaji akicheza…sitaki ifike hatua mchezaji mmoja ajione ni bora kuliko wengine”
Naye mchezaji Nassor Saadun amesema wamejiandaa vizuri na lengo la oni ubingwa…
Fainali ni kesho Januari 13 saa 10:30 jioni,.... Azam FC vs Yanga,SC, Gombani Pemba LIVE #AzamSports3HD
#MapinduziCup2026 #NMBMapinduziCup2026 #AzamYanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: