BODABODA MBEYA AKATWA MIGUU YOTE, DR. TULIA HAJAKAA KIMYA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-09-16
Просмотров: 6322
Описание: September 16, 2021 Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kupitia taasisi yake ya Tulia Trust ametoa msaada wa kiti mwendo chenye thamani ya Tsh: 500,000/- Pamoja na pesa taslim Tsh: 500,000/- kama mtaji wa biashara Kwa Christopher Kitwika mkazi wa kata ya Maanga Jijini Mbeya ambaye ni mlemavu aliyekatwa miguu yote miwili baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari yeye akiwa dereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda mwaka 2019.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: