NEEMA YATOSHA BY PST PHILIP MUKOSI OFFICIAL VIDEO
Автор: philip mukosi
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 142
Описание:
NEEMA YATOSHA ni wimbo ambao unatukumbusha neema za Mungu juu ya maisha , na kwamba baraka zake
tunahitaji kumfuata huyu Mungu, Simba wa Yuda, na kuachana na shetani na mambo yake yote.
Wimbo huu ulirekodiwa@ GROOVERS RECORDS NAIROBI
Karibu ushiriki baraka hizi nasi, na kumsifu Mungu wetu.
PST PHILIP ni mtumishi wa mungu aliye barikiwa na kipawa cha kucheza GUITAR na kuimba pamoja na kuwa muhubiri wa neno la mungu.
yeye ni MKENYA ENEO LA UKIA MAKUENI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: