Yesu Akalia kwa Sauti Kuu | G A Chavallah | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Kwaresma/Ijumaa Kuu
Автор: Sauti Tamu
Загружено: 2021-01-13
Просмотров: 483333
Описание:
Ijumaa Kuu
Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema
Baba mikononi mwako naiweka roho yangu
#SautiTamu #Zilipendwa #Kwaresma
umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
Waimbaji Sauti Tamu Melodies
pata nyimbo nyingine za Kwaresma/lent/Juma Kii/Holy Week, kama Pasipo Makosa mkombozi wetu, watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kwa nini wasimama mbali, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Baba mikononi mwako, Asilegee moyowe, Amin amin Nawaambia na nyingine kutoka kwa channel hii
Tafuta pia nyimbo nyingine kama Nimekukimbililia wewe, moyo wangu, Baba mikononi mwako, mwanzi uliopondeka, gusaneni majeraha, Yuda akarudi (nchi inazizima), umekosa nini Yesu, lakini hata sasa nirudieni mimi, nihurumie nimekosa, uturehemu ee Bwana, Mungu wangu mbona umeniacha, Mama Pale Msalabani, kwa ajili ya mateso makali, na nyinginezo kukamilisha playlist yako ya Kwaresma na Holy Week
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: