ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MATHAYO 24: CHUKIZO LA UHARIBIFU NA NABII DANIELI/MWENYE SIKIO NA ASIKIE

Автор: SIRI ZA BIBLIA

Загружено: 2021-04-29

Просмотров: 13358

Описание: #Yesu#ChukizolaUharibifu##Danieli#Mwakasege
Basi, mtakapoona ‘Chukizo Haribifu lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu, (msomaji na atambue maana yake), 16hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani. 17Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake. 18Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. 19Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! 20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato! 21Maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea tena. 22Kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa ajili ya wale walioteuliwa.
23“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. 24Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu. 25Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. 26Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; 27maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki hadi magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu. 28Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MATHAYO 24: CHUKIZO LA UHARIBIFU NA NABII DANIELI/MWENYE SIKIO NA ASIKIE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MATHAYO 25:HUKUMU YA MWISHO/ATATENGANISHA KONDOO NA MBUZI

MATHAYO 25:HUKUMU YA MWISHO/ATATENGANISHA KONDOO NA MBUZI

SIRI TANO ZA AJABU KUHUSU YESU. Je Yesu ni nani hasa? Mjue hapa. Mwl. Vincent Mwakisyala

SIRI TANO ZA AJABU KUHUSU YESU. Je Yesu ni nani hasa? Mjue hapa. Mwl. Vincent Mwakisyala

UKIELEWA MFUMO HUU UTAOMBA CHOCHOTE NA WEWE UTAPATA

UKIELEWA MFUMO HUU UTAOMBA CHOCHOTE NA WEWE UTAPATA

The Story Book : Yesu Alipotelea Wapi Miaka 18 Ambayo Maandiko Hayamuongelei?

The Story Book : Yesu Alipotelea Wapi Miaka 18 Ambayo Maandiko Hayamuongelei?

IBRAHIM ALIVYOKABIDHIWA ISRAEL/KAANANI NA MUNGU

IBRAHIM ALIVYOKABIDHIWA ISRAEL/KAANANI NA MUNGU

WEKA MIPAKA KWENYE MAISHA YAKO // WASIKUJUE SANA

WEKA MIPAKA KWENYE MAISHA YAKO // WASIKUJUE SANA

Mch Moses Magembe - INJILI YA MATHAYO

Mch Moses Magembe - INJILI YA MATHAYO

NENO LA SIKU | Mathayo 26 | Maombi Ya Kuvunja Maagano Ya Damu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 26 | Maombi Ya Kuvunja Maagano Ya Damu | Isaac Javan

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU

#LIVE Rev Victor Makundi  /CHUKIZO LA UHARIBIFU [UNAHITAJIKA KUOMBA ZAIDI]

#LIVE Rev Victor Makundi /CHUKIZO LA UHARIBIFU [UNAHITAJIKA KUOMBA ZAIDI]

MATHAYO 1: HISTORIA YA MATHAYO MTOZA USHURU/BIBLIA

MATHAYO 1: HISTORIA YA MATHAYO MTOZA USHURU/BIBLIA

BREAKING! Watatu Waliotumwa na SAMIA Kuteka Mwanaharakati Mtanzania KENYA Wakamatwa

BREAKING! Watatu Waliotumwa na SAMIA Kuteka Mwanaharakati Mtanzania KENYA Wakamatwa

AMRI 10 ZA MUNGU/MAKANISA YATOFAUTIANA/KUABUDU SANAMU

AMRI 10 ZA MUNGU/MAKANISA YATOFAUTIANA/KUABUDU SANAMU

Roho Ni Nani Ama Ni Nini?+254705602959

Roho Ni Nani Ama Ni Nini?+254705602959

JINSI YA KUPANGUA MIPANGO YA ADUI ZAKO // Efeso 5:14

JINSI YA KUPANGUA MIPANGO YA ADUI ZAKO // Efeso 5:14

ПОЧЕМУ БОГ ВЗЯЛ ИЛИЮ ЖИВЫМ НА НЕБО В ОГНЕННОЙ КОЛЕСНИЦЕ? | БИБЛЕЙСКИЙ ДОКУМЕНТАЛЬНЫЙ ФИЛЬМ

ПОЧЕМУ БОГ ВЗЯЛ ИЛИЮ ЖИВЫМ НА НЕБО В ОГНЕННОЙ КОЛЕСНИЦЕ? | БИБЛЕЙСКИЙ ДОКУМЕНТАЛЬНЫЙ ФИЛЬМ

#LIVE: KEMEA ROHO YA HOFU NYUMA YA MAGONJWA // 04

#LIVE: KEMEA ROHO YA HOFU NYUMA YA MAGONJWA // 04

Tazama Mimi Nipo Pamoja Nanyi - F Kashumba | Sauti Tamu Melodies | Ascension Sunday|Kupaa kwa Bwana

Tazama Mimi Nipo Pamoja Nanyi - F Kashumba | Sauti Tamu Melodies | Ascension Sunday|Kupaa kwa Bwana

Vita 2 Zilizobak Kufikia Mwisho wa Dunia | Vita ya GOGU na MAGOGU | Semina ya Neno la Mungu Mwl Tuza

Vita 2 Zilizobak Kufikia Mwisho wa Dunia | Vita ya GOGU na MAGOGU | Semina ya Neno la Mungu Mwl Tuza

9. Chukizo la Uharibifu I (Mpinga Kristo Kazini sehemu ya 5)

9. Chukizo la Uharibifu I (Mpinga Kristo Kazini sehemu ya 5)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]