ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DKT. NCHIMBI AWAONGOZA WANANCHI KUUAGA MWILI WA MZEE SONGAMBELE

Автор: RUVUMA RS

Загружено: 2025-06-02

Просмотров: 4016

Описание: Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Alhaj Mustafa Mohamed Songambele mkoani Ruvuma.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwa Mzee Songambele Mahenge mjini Songea, Dkt. Nchimbi amesisitiza mchango wa Mzee Songambele katika harakati za kupigania uhuru wa Tanzania, akieleza kuwa alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa Chama cha TANU na alishiriki kikamilifu katika kujenga misingi imara ya taifa jipya baada ya uhuru.
"Tuendelee kujifunza kutoka kwa wazee hawa ambao wamefariki wakiona amani na upendo wa Tanzania ukiendelea, heshima pekee tunayoweza kuwapa ni kuendeleza mshikamano, amani na maendeleo ya nchi yetu, tuendelee kujua sisi ni Taifa moja, tuna wajibu wa kupendana na kujiepusha na vishawishi vyote ambavyo vinaweza vikavuruga amani na kuvunja mtangamano wa kitaifa," alisema Dkt. Nchimbi.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ameguswa sana na msiba huo, akimtaja Mzee Songambele kama kiongozi aliyekuwa na moyo wa kipekee wa kulitumikia taifa kwa hali yoyote hivyo wanaruvuma wana kila sababu ya kujivunia kutokana na mchango wake mkubwa katika kupigania uhuru na kuimarisha maendeleo ya nchi.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameeleza kuwa kifo cha Mzee Songambele ni pigo kubwa kwa Taifa, akisisitiza kuwa Tanzania imepoteza hazina muhimu ya busara na kumbukumbu hai ya historia yake.
"Hakuwa tu kiongozi bali alikuwa taa na mwelekeo katika giza la ukoloni, aliyesimama kidete kwa ujasiri, hekima, na moyo wa kizalendo katika kuijenga Tanzania mpya alisimama kwa haki, kupitia juhudi zake na viongozi wenzake wa wakati huo, tunauona leo mwanga wa uhuru, umoja, na amani uliodumu kwa zaidi ya nusu karne," alisema Kanali Ahmed.
Kwa upande wake mtoto wa Hayati Alhaj Songambele, Rajab Songambele, amesema kama familia wataendelea kuyaenzi na kuyafanyia kazi mazuri yaliyofanywa na waliyoachiwa na Mzee wao ili yaendelee kuishi.
Hayati Alhaj Mustafa Mohamed Songambele alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wa Chama cha TANU ambacho kiliasisi harakati za kudai uhuru akiwa miongoni mwa wanachama wa kwanza 30, na akapewa kadi namba 27, alizaliwa Mei 25, 1925 Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma na amefariki akiwa na umri wa miaka 100 Juni 1, 2025.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DKT. NCHIMBI AWAONGOZA WANANCHI KUUAGA MWILI WA MZEE SONGAMBELE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

HECHE AKINUKISHA MARA SAKATA LA KUZUIWA BAWACHA KUSHEREHEKEA, ATINGA KESI YA KAUNYA, AFUNGUKA MAZITO

HECHE AKINUKISHA MARA SAKATA LA KUZUIWA BAWACHA KUSHEREHEKEA, ATINGA KESI YA KAUNYA, AFUNGUKA MAZITO

HAJI MANARA ASHANGAZWA NA HISTORIA YA MZEE SONGAMBELE / NA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA MLIMANI

HAJI MANARA ASHANGAZWA NA HISTORIA YA MZEE SONGAMBELE / NA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA MLIMANI

🔴ГОРДОН: Срочно! ЭВАКУАЦИЯ УКРАИНЦЕВ ИЗ ВЕНГРИИ. Польша ЗАКРЫЛА НЕБО. Путин подключил СПЯЩИХ АГЕНТОВ

🔴ГОРДОН: Срочно! ЭВАКУАЦИЯ УКРАИНЦЕВ ИЗ ВЕНГРИИ. Польша ЗАКРЫЛА НЕБО. Путин подключил СПЯЩИХ АГЕНТОВ

CCM YAKERWA WANASIASA KUKAMATWA NA POLISI| ALIYEWAKAMATA CHADEMA NI KAMA AMEWAPA TU KIKI.

CCM YAKERWA WANASIASA KUKAMATWA NA POLISI| ALIYEWAKAMATA CHADEMA NI KAMA AMEWAPA TU KIKI.

KUKAMATWA KWA VIGOGO 5 MBEYA, POLISI NA CHADEMA SHUGHULI NGUMU| POLISI YADAI HAWAJAZUIA MIKUTANO

KUKAMATWA KWA VIGOGO 5 MBEYA, POLISI NA CHADEMA SHUGHULI NGUMU| POLISI YADAI HAWAJAZUIA MIKUTANO

⚡Срочная ОТВЕТКА АЛИЕВА на атаку Азербайджана! Путин жёстко ОБЛАЖАЛСЯ С ИРАНОМ. Трамп АТАКУЕТ КУБУ

⚡Срочная ОТВЕТКА АЛИЕВА на атаку Азербайджана! Путин жёстко ОБЛАЖАЛСЯ С ИРАНОМ. Трамп АТАКУЕТ КУБУ

WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA UZALENDO WA MASHUJAA WA MAJIMAJI

WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA UZALENDO WA MASHUJAA WA MAJIMAJI

⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ

⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ

Most Europy dla Moskwy zniknął: Miliony w panice, Polska ZAMYKA WSZYSTKIE rosyjskie mosty

Most Europy dla Moskwy zniknął: Miliony w panice, Polska ZAMYKA WSZYSTKIE rosyjskie mosty

MBUNGE ALIVYORUSHIANA MANENO NA SPIKA ATAKA KUMTOA NJE

MBUNGE ALIVYORUSHIANA MANENO NA SPIKA ATAKA KUMTOA NJE "KAA CHINI"

ПУТИН ТЕРЯЕТ КОНТРОЛЬ: Депутат прямо в Думе признал — война ПРОИГРАНА. Это конец

ПУТИН ТЕРЯЕТ КОНТРОЛЬ: Депутат прямо в Думе признал — война ПРОИГРАНА. Это конец

🔴 Цього не покажуть по ТБ! Головні новини - ТЕЛЕКАНАЛ ПРЯМИЙ

🔴 Цього не покажуть по ТБ! Головні новини - ТЕЛЕКАНАЛ ПРЯМИЙ

💥ИСТЕРИКА в эфире Соловьёва! Гость ВЫДАЛ ТАКУЮ ДИЧЬ. Реакция на захват ТАНКЕРОВ РФ рвёт сеть

💥ИСТЕРИКА в эфире Соловьёва! Гость ВЫДАЛ ТАКУЮ ДИЧЬ. Реакция на захват ТАНКЕРОВ РФ рвёт сеть

BOTI YA UTALII ZIWA NYASA KUONGEZA THAMANI KWENYE SEKTA YA UTALII

BOTI YA UTALII ZIWA NYASA KUONGEZA THAMANI KWENYE SEKTA YA UTALII

ОТ вам і ПРАВДА! ОСЬ чому ЗАТРИМАЛИ працівників ОЩАДБАНКУ. ПОРТНИКОВ приголомшив ЩО задумав Орбан

ОТ вам і ПРАВДА! ОСЬ чому ЗАТРИМАЛИ працівників ОЩАДБАНКУ. ПОРТНИКОВ приголомшив ЩО задумав Орбан

PROF MUKANDARA NI LI NG'OMBE LA CCM, NI LI CCM KWELI KWELI ILA KWA HILI ALISEMA UKWELI, TUNDU LISSU

PROF MUKANDARA NI LI NG'OMBE LA CCM, NI LI CCM KWELI KWELI ILA KWA HILI ALISEMA UKWELI, TUNDU LISSU

Арестович & Латынина: Украина против всех.

Арестович & Латынина: Украина против всех.

Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец

Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец

Bunge lamfukuza Kikwete Kazi pamoja na Philip Mpango naye Kassim Majaliwa; Samia Kwisha

Bunge lamfukuza Kikwete Kazi pamoja na Philip Mpango naye Kassim Majaliwa; Samia Kwisha

🔥ЛУЦЕНКО о выходке ЗЕЛЕНСКОГО: ОРБАН получил козырь! ШОКИРУЮЩИЕ ДЕТАЛИ ВЫХОДОК ВЕНГРИИ

🔥ЛУЦЕНКО о выходке ЗЕЛЕНСКОГО: ОРБАН получил козырь! ШОКИРУЮЩИЕ ДЕТАЛИ ВЫХОДОК ВЕНГРИИ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]