Magoli yote | Yanga SC 6-1 KenGold FC | NBC Premier League 05/02/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-02-05
Просмотров: 209012
Описание:
Yanga SC imeiteketeza KenGold kwa kichapo cha mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu aya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo #KMCComplex Dar es Salaam.
Prince Dube na Clement Mzize wamefunga magoli mawili kila mmoja huku mengine yakitoka kwa Pacome Zouzoua, na Duke Abuya....
Goli la kufutia machozi ni goli la maajabu likifungwa na Seleman Bwenzi kutokea katikati ya uwanja......
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: