ALONACHO KAJALIWA JOKHA KASSIMU,FIVE STAR MODERN TARAAB
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2016-07-10
Просмотров: 8621
Описание: Jokha kassim amedumu katika Tasnia hii kwa muda mrefu sana na kufanya sauti yake iwe kivutio kwa wasikilizaji wa Taraab hapa Tanzania.Alonacho kweli kajaliwa au unaweza kusema alopewa kapewa,wimbo huu ameimba akiwa na kundi la Five star ambalo sasa hivi linaonekana kuyumba katika ushindani wa taraab,lakini hata hivyo Jokha inadaiwa kuhama kundi hili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: