Nguvu ya Imani_ Ufalme wa Neema Sehemu ya 9
Автор: Jackson Rusanyu
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 44
Описание: Matumizi sahihi ya Imani yamejengwa katika Neno la Mungu yaani kuzitambua Ahadi za Mungu na kuzipokea kama Neno la Mungu kwetu si kama neno la Wanadamu. Huu ulikuwa uzoefu wa Akida alipomwambia Yesu Sema Neno tu na mtumishi wangu atapona. Sayansi ya Imani inatutaka kuamini kile tunachoomba kuwa Tunakipokea (Rejea 1Yohana 5: 14,15) na kumshukuru Mungu kuwa Tumekipokea na udhihirisho wake utakuja pale tutapouhitaji zaidi. (Rejea The Desire of Ages 200.4) . Njia hii ni Hakika katika kutupatia kipawa cha HAKI - kutoka katika zoefu zetu za dhambi pamoja na kipawa cha AFYA - kutoka katika zoefu zetu za magonjwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: